MSAHADA KWENYE SWALA LA KUCHANGANYA CHAKULA CHA KUKU WA NYAMA

Joined
Dec 29, 2017
Posts
74
Reaction score
104
Habari zenu ndugu zangu,,,, cna mengi ya kuongea ila nia hasa ya uzi huu ni changamoto ninayoipata katika kuanda fomula ya kuchanganya chakula cha broilers kwanzia starter mpaka finisher!!!

Natumai ntapata msaada kutoka kwenu,,, Natanguliza shukrani [emoji120]
"Forever Together "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…