Msahada: Nitapata wapi vifungashio vya hair shapoo, na sabuni ya maji.

Msahada: Nitapata wapi vifungashio vya hair shapoo, na sabuni ya maji.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
4,632
Reaction score
1,773
Habari wana jukwaa,
Tafadhari naomba kwa anayejua wapi vinapatikana vifaa tajwa, naomba anifaamishe, niko Dar.

Natanguliza shukrani.

Wakubwa, samahani title imekosewa kidogo, hapo kwenye "shapoo" namaanisha Shampoo.
 
cheki na m2 aliyeko china, unapiga picha tu aina ya kifungashio unachokitaka na idadi then unatuma, makampuni ya parkaging yapo mengi.
 
wakuu na mimi niko mwanza,nina hitaji hivyo vifungashio .
 
wengi tuna shida hiyo weka mambo hadharani kama ww ndio muuzaji sema tukutafute

kama unashida sema unashida upewe suruhisho usipende kudandia magari kwa mbele utagongwa.
 
Kuna kiwanda kipo mbezi beach (kituo sijui kinaitwaje). Ila ulizia mbezi garden hotel. Ukianza kuelekea mbezi garden upande wa kulia kwako kama unatokea bagamoyo road. Nahisi ni gate la tatu hivi. Wanatengeneza plasticks nyingi.
 
kama unashida sema unashida upewe suruhisho usipende kudandia magari kwa mbele utagongwa.
sasa mbona hujatoa suluhisho ww ndio unadandia. Nimesema wengi kwa kuwa wingi unaanzia na mbili. Halafu acha masihara fikiri kabla ya kuandika
 
Kuna kiwanda kipo mbezi beach (kituo sijui kinaitwaje). Ila ulizia mbezi garden hotel. Ukianza kuelekea mbezi garden upande wa kulia kwako kama unatokea bagamoyo road. Nahisi ni gate la tatu hivi. Wanatengeneza plasticks nyingi.
Asante King'asti nitafuatilia
 
Back
Top Bottom