Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

We bwege uso wa mamako una nuru? Apumzike ili aingie mamako? Acha siasa za kishamba, madaraka huletewi nyumbani unayatafuta. Hv mbwa km ww unahangaika na mkuu wa nchi unajitambua kweli we bwege?
 
hivi vijana wa chadema munahisi Tatizo la hii nchi ni Samia ama? kwamba akiondoka yeye hali itabadilika? Munajidanganya sana
 
Wahuni bado wanamhitaji sana ili wafanikishe uhuni wao
 
wao ndio wanaongozaa kulialia aachie aachie, maana yake nini?
Umeelewa vibaya, vijana wa Chadema na wapenda nchi wanataka mabadiliko ya kimfumo ndiyo maana wanalilia Katiba mpya, kumtaja Samia ni kwa vile ndiye Rais na mwenyekiti wa CCM Chama kinachounda Serikali.
 
na mada ya mleta mada ina lenga nini?

Na tunatakiwa tuelewe, CCM hawawezi kuleta mabadiliko ya kimfumo kwa huruma kama chadema wanavyofanya sasa hivi. CCM sio viumbe wepewepesi ni mashetani hasa.
 
na mada ya mleta mada ina lenga nini?

Na tunatakiwa tuelewe, CCM hawawezi kuleta mabadiliko ya kimfumo kwa huruma kama chadema wanavyofanya sasa hivi. CCM sio viumbe wepewepesi ni mashetani hasa.
Mleta mada hajajitambulisha kama ni kijana wa Chadema. Chadema wanaelewa kuwa CCM hawawezi kuleta mabadiliko bila kuwekewa shinikizo ndiyo maana wamekuja na NRNE ambayo imepokelewa vema na wananchi hadi CCM ikaamua kutumia mabavu ya vyombo vya dola kuizuia Chadema isifanye kabisa shughuli za kisiasa nchini, huu mpambano bado unaendelea na hautaisha hadi uishe.
 
NRNE imeshafail mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…