Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

Alipatikana mmoja amepigwa pini, wananchi wenyewe ndio wanatakiwa waonyeshe msimamo
Wananchi hufanya kazi nzuri kuwapigia kura wapinzani lakini Tume ya uchaguzi huiba kura zao na kuwanyima uhuru wa kuchagua
 
Aibu sana !! Kutwa kuandika nyuzi za kuwachulia watu, kwani huna kazi ya kufanya.

Hata wewe ni CHAWA wa Tundu, kwani shida iko wapi. Manyumbu mmekamatika lwenye korodani mwaka huu
View attachment 3452195
Manyumbu ni ccm kwa moja ya unyumbu ni kukosa ujasiri kutojiamini kufanya siasa safi, mmekalia kuwaonea kuwanyanyasa kuwatesa kuwafanyia kila baya chadema kama ccm mnadai mna watu wengi kwa nini mnakalia kuwatesa chadema? Mmekuwa watu wa kesi kesi kutumia vyombo vya Dola kutawala kimabavu kama enzi za makaburu wa Africa kusini
 
Damu za akina Ali Kibao, Mdude, Soka na wenzake ndiyo zinamtesa kila akifumba macho anawaona miili yao ikiwa imetapakaa damu ndiyo maana anapiga sana ulabu .
Wanamtokea usoni kila akisinzia tu
 
Misa ya jana St Peter, mwisho WA Misa ya kuombea Aman na Haki, ilipigwa wimbo WA taifa, nyuso za waumini zilibeba ujumbe mzito sana
 
Kwa mtazamo wako sawa ila kwa mana halisi ya uchaguzi ni kuwa hakuna uchaguzi kinachokwenda kufanyika October ni kiini macho kwani hadi sasa matokeo tayari yako kwenye servers za INEC wanasubiri kuyatangaza tu.

hata 2020 ilikua ni hivohivo
 
Anacho kiburi chake mwenyewe akidhani kuwa Bora kuliko wanawake wote,wamemtisha kiasi kwamba sasa anaendeshwa kama Mkokoteni na hawampi nafasi ya kutafakari ndiyo maana unaona shughuli baada ya nyingine.Atakuwa anaishi saloon, dressing table na kwenye podiums.
She was been captured long time ago,The State is also captured and capsulated as well.That's why we're Insisting on Reforms before going into any Elections.It's logical,i hope.
 
Hivi anapataga utulivu hata wa kumpa yule mzee haki yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…