ujinga mtupu.....
Kulikua hamna ulazima wa kuchangia!Especially kama huna cha kusema zaidi ya kuonyesha dharau!
wewe waona dharau but hii thread ni marudio tu ya thread za aina hii nyingi mno..
na ushauri pia ni marudio....
inachosha
kuna rafiki yangu alikuwa na mke hapo awali,ikatokea tafrani wakaachana jamaa akiwa kwenye msoto mkali,akaahidi hatooa tena!Mungu si athumani akatokea mdada akampenda akamuoa,sasa kivumbi yule mke wake wa awali amemuangukia na ametuma watu amrudie na hii ni baada ya miaka sita!afanyeje na ikiwa na wazazi wa huyo rafiki yangu wameridhia baada ya kufuatwa?anaomba ushauri!
Kama anampenda sana huyo wa mwanzo pamoja na kumtenda hatakua anamtendea haki wa sasa hivi kubaki nae wakati moyo wake uko kwingine!Bora amuache ili anae apate atakaempenda kikamilifu!Akijilazimisha kubaki nae ipo siku tu atamuacha kwenye mataa iwapo muda hautamfundisha kumpenda mdada wa watu!Kama alitendwa lipi linamfanya arudi nyuma? vipi huyu innocent wa sasa,
Jamani muwe na huruma,huyu dada wa watu aliyeolewa baada ya kuachana na mkewe ye aende wapi? kama walishaachana basi,mwenzie ndo kapata mwenza mwingine wanaishi.....lazima tukubali kuna makosa mengine,yanasameheka lakini hatupaswi kurudi nyuma!!!!:coffee:
Halafu wazazi wengine sijui vipi,we mwanao anaachana na mwanamke,anaoa mwingine,after six years anarudi then wazazi wanajua mtoto wao ana ndoa wanaridhia mke wa kwanza kurudi,kawafanya baya gani mtoto wa mwenzao? anyway,story haina mapana mengi ila nahisi kuna uwezekano mkubwa wa kumuumiza mtu asiyestahili!!!
Asimrudie kama yule ndio alikuwa mgomvi ila kama yeye alikuwa mgomvi ndio wakaachana amrudie cause ukiangalia vitabu vya dini hasa bible mke wako anaehesabiwa mbinguni ni yule wakwanza mmoja tu ambae umeapa nae kanisani. Duh hii inatupa wadada angalizo kuolewa na mtu aliyeachana na mwenzake inaweza kukuletea sooo
Kwa nini asiombe ushauri mwenyewe hadi akutume wewe? Are you his messenger?