Msaidieni mke wangu jamani, anateseka.

Kweli kabisa wanawake wengi waliokuwa cheated wanapata tabu sana kuenjoy sex unless wale wanaoweza kuji condition kuwa they are doing it kujipa raha wenyewe. Mimi naona ni suala la kisaikolojia zaidi Maana unasema anastop on the way meaning kuna kinachomfanya agaili kufika. Jiulize kama umeshawahi kumcheat au hata kama hujawahi kumcheat inawezekana yeye anakuhisi vibaya tokana na mienendo yako. You need to talk. Nimeshatembeea blogu nyingi watu wengi waliokuwa cheated wanalalamika kuwa feelings kwa wame zao zimekwisha kabisaaa; sasa watu kama hao usitegemee utawafikisha hata ufanyeje.

Wababa msidhani kuwa mapenzi ya wake zenu yako guaranteed as long as they are still married to you. Mkichezea feelings zao hayo ni moja ya matokeo.

This may go both ways. Mwanamke anayetoka nje sidhani kama anaweza kufikishwa na mumewe kwani sisi wanawake tuna uwezo wa kumpenda mtu mmoja tu at a time hata hao mnaoona wanawapanga foleni jueni fika kuwa either both of you ni mnatumiwa au kuna mmoja ambaye ni chaguo. Sasa mwanamke akiwa na affair nje inaweza mfanya awe analia kama hivyo amekuwa mtumwa wa kidumu huku ana guilt consciousness.

Wewe unajijua kama unamwenendo mbaya au la. Kama unaona uko okay mchunguze wife.

Hivi bongo hii huduma ipo na inapatikana wapi maana kwa kweli sometimes we need to see these people and talk to them than talking to friends.
Pole ni tatizo la kisaikolojia,mm nakushauri umpeleke kwa Psychologist.Pili jitahidi uwe unamuandaa kuanzia kwenye misosi na hata kumpuzisha kazi na kumtoa out siku ya mechi.

nimewahi kusikia mabinti kama wawili kuwa ukifunga uzazi kwa njia ya kijiti huwa hawasikii hamu wala raha ktk tendo husika, Ningependa wamama wa humu waliotumia hii njia waeleze kama lina ukweli.

Niliwahi kuwa peer councellor(uzazi wa mpango na STDs) siku za nyuma kidogo........japo tulipata training ya njia zote za kupanga uzazi.............sikuwahi hata siku moja kumshauri binti yeyote kutumia njia nyingine zaidi ya njia ya asili(kalenda) na condom kwani njia zilizobaki kila moja ina madhara yake.Na hata sasa sishauri hivyo(wahusika wanisamehe tu).

Most of them huwa zinadisturb hormones zinazohusiana na uzazi, sina ushahidi na hilo ila linawezekana kutokea kwa baadhi ya watumiaji kwani ni hormonie hizohizo zinazotupa hisia za kufanya mapenzi.

Hebu twende kwa MR tukupe maushauri hapa watoto wako macho hawajalala bado

Great thinkers. Tutumie uwezo wetu kuwasaidia wenye shida kama jinsi Msakagamba alivyoeleza tusiende nje ya mada.
Binafsi namshauri aongee na wife ake kwa kina na waamue njia za kuchukua. Ili kama ni kumuoa mtaalamu wasizidi kukawia.

Hili nalo ni janga la kidunia naona, she need a proffesional care ambayo tz sijui kama ipo!

kama alikuwa anafika kileleni mwanzo then hilo sio tatizo la kimaumbile...tunarule out kutahiriwa........
what i think amekuchoka slightly peaneni space,safiri kidogo siku ukirudi utaweza kuyaignite mapenzi yenu tena....
au badilisheni venue kidogo nendeni sehemu kama hotelini,nje ya mji.....
kuwa msikivu zaidi,sie wanawake tunapenda mtu anayeonyesha anatujali/kuwa na huruma na sisi/kutusikiliza hivyo jaribu kuwa naye zaidi kwa mambo mengine asijione anatumika/anahitajika tu kny tendo la ndoa tu(sex machine)....anza sasa kumsaidia kazi za nyumbani etc aone unavyomjali lastly ongea naye she is your wife afunguke kama ana worries kuhusu wewe au future yenu pamoja

Ebu jaribu kusafiri kwenda mbali na mama kama mpo Dar mwaweza kwenda hata Moro au Dom for three days au AR muwe hotelini hotel nzuri then apply principals za Nyumba Kubwa na hao Wakuu wengine, mtakapo kuwa huko maongezi yawe ya mapenzi tu! na kama kweli uliwai kumkosea ndani ya maongezi yenu tafuta sehemu ya kuingiza hiyo hoja kama sehemu ya kuomba samahani na kumuhakikishia kuwa lile kosa lilipita na halipo tena.

Husimwambie kuwa lengo la hiyo safari ni kwa ajili ya kukosa hiyo raha ya tunda, hapana mwambie hiyo ni program mpya ulioamua tu kama sehemu ya kumfurahisha wife kutembea/kutalii; Mtakapo kuwa mji mpya waweza kwenda Disco pamoja na hata kuogelea kama pool au bahari, hakikisha una chukuwa chumba kikubwa iliwezekana kiwe na Balcon kama ni ghorofani, light foods na vinywaji kidogo huku mkikumbushana ya nyuma yote ikiwezekana hata mlikotoka wakati mnatongozana be in balcon au sitting ya chumba chenu ila lazima msikae kama upo na mkwe wako na hata mavazi lazima yawe ya kula tumbakishie baba.

Lazima katika siku tatu zote huhakikishe mmejadili mambo yote ya mapenzi yenu na kutembelea sehemu zote kubwa za starehe katika huo mji mpya, make brain start a fresh.

Duuuu pole sana, nikuulize una hakina umejitahidi vya kutosha? Embu badili mikito ndugu yangu,kama ulikuwa una spidi kali fanya slow motion and vise versa,communication wakati wa tendo, sio unaguna tu utafikiri unachomwa sindano jaribu ndugu yangu usikate tamaa nafikiri kila mwanamke ana kitu chake akifanyiwa anafika bila tatizo

Antena au dish anayo ya kukamata hadi basra? Au ana ki sonnet tu? Maana haya mambo mnaweza mshauri weeeee kumbe hana kile kitu,

Embu nikalale mie kikojozi

MA DIA
YAANI ULICHOONGEA NAHISI UNANIFIKISHA GAFLA..YAANI MATATIZO YA NDOA YOYOTE SOLN NI NIYE WENYEWE KUWA WAWAZI..M NAKUMBUKA MKE WANGU NIKIWA BG TUKIPIGA GAME TUNAPELEKEANA MOTO MBAYA..NA HUWANILIKUWA NAANZA NA 20-40-80-120 TO INFINITE TULIVYOOANA SI UNAJUA NA UBISY NIKIANZA SHUGULI NAMAINTAIN 20-60 MWEZI WA KWANZA AKITOKA KAMA TUMEPIGANA MAKOFI NIKA MPELEKA ROSE GARDEN KAMA KAWAIDA YETU MUNGU AKITUBARIKI NIKAMCHANA LIVE..AKANIPA LIVE NA MIE NIKAWA NAMWAMBI MKE WANGU TANGU TUPATE MTOTO NILIKUNUNULIAGA VIKO 30 MUMEO AKIRUDI NAPENDA UWE UMEVAA LAKINI SIKUHIZI KUNIVALIA MAGAUNI SIPENDI WAKATI MWINGINE SIITAJI KUTUMIA NGUVU KUVUA GAUNI ULE MUDA MUHIMU SAANA..SO HATA WEWE ULIE NAMWENZA WAKO AKIKISHA MWENZIO ANAKUWA KATIKA HALI YA KUELEKEA KWENYE RAHA SIO UNARUDI KILA SIKU KALA JEANS NA MLIVONENEPEANA SAWA BASI ANABADILISHA TU JEANS YAKE IKISHAFUKA ANAVAA YAKO MWAMBIE M SIMAINDI ILA MNUNULIE VIKOI KAMA VINAMUENEA NA SASA IKIFIKA SAA KUMINAMBILI AJANIONA ANACHANGANYIKIWA

MAHALI TUMEFIKA TUMEUONA MKONO WAKO NA SASA TUNAIMBA EWE NI EBERNEZER

Antena au dish anayo ya kukamata hadi basra? Au ana ki sonnet tu? Maana haya mambo mnaweza mshauri weeeee kumbe hana kile kitu,

Embu nikalale mie kikojozi

Hhahaaaahhaahahaaa.umepinda BB,ina maana anaweza kuwa na sonnet au hana kabisa!kwa kweli hili nalo neno anatakiwa kulitilia manaani

mtoa mada hakikisha aliyosema bb,usikute unatwanga maji kwenye kinu

Haujajua ni sehemu gani ya mwili wa mke wako utagusa ili apate feelings, hebu jaribu hili, full wakati umeshamwandaa unapofanya naniiiiiii uwe unanyonya nyonya manyonyo yake usiache mpk uhakikisha amekojoa then wewe ndo uwe wa mwisho kukojoa au hakikisha wakati uko kwenye shughuli unashika shika kwenye kinambe chake kwa ndani bila kumuumiza hadi utakapohakikisha amefika kilele ndo wewe ukojoe., sorry for this.

we Nenda Chumvini itajipa tu au kama vipi mlete nkusaidie kdogo

wewe huwa unajuaje hafiki?
hadi unaenda mara nne si unakuwa unamchosa hata raha hamna tena.ukitaka kufurahia mapenzi hayaanzii kitandani mtu ulikuwa unamtukana siku nzima unaexpect atafurahia hapo bed? badilisha life style kwanza.jenga nae urafiki mpetipeti fresh sms kumhug kwa sana sms za mapenzi,nyimbo then mkienda kitandani ni kumalizia tu

Another thing tatizo hili linajitokeza sana anapokuwa na mawazo kuwa anaibiwa...Kuna mwenzie.... Lifanyie kazi hilo.

kunywa maji mengi kabla ya tendo, halafu umwandae vya kutosha, hapo utatumia muda mrefu na atafika tu hapo kibo ya mlima kilimanjaro...

naiman mawazo anayatoa kwenye tendo lenyewe ajitahidi kuweka akili na mawazo yake yote kwenye tendo, asahau ya nyuma na aweke mvuto kwako zaidi.....!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…