kijukuu kindo
Member
- Sep 19, 2010
- 86
- 12
nitumie personal meseji tujadiliane, nitakusaidia na hautapata shida
"Niko njia panda naomba ushauri jamani. Nilikuwa na rafiki wa kiume ambae kwa sasa siko nae, kisa ni siku moja alikuja kwangu kunitembelea akaondoka kwa minajili kuwa aenda kwa kikao cha harusi. Ili kuhakikisha mwenzangu kafika nyumbani salama nikapiga simu kwa bahati mbaya sikumpata. Kesho yake nikamuuliza kulikoni mbona ukuwa hewani ayo majibu yaliotoka apo acha,summary yake ni kwamba sikutakiwa kumuuliza chochote juu ya simu yake, nikajishusha sikutaka tujibizane nikaomba msamaha yaishe. Since then ukimpigia hapokei, msg hajibu, email hajibu nashindwa kumuelewa kwa kweli, kama kaniacha si aseme o anataka nn mie sijui. Hapa niko njia panda sijui nifanyaje, nimvagae nimuulize ni nn o nimwache kama halivyo, naomba ushauri!"
mnamwambiaje wana JF
mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....ay ay ay ay.... nanuza harufu ya mauaji hapa!!
dada yangu huyo keshaenda zake we tulia utapata mtu wa kukufaa,tatizo kina dada huwa mnalazimisha mambo hapo utaanza kujipeleka kuomba msamaha na mwenzako siku umekwenda amezidiwa anafanya kama amekusamehe vile kumbe ana njaa zake mara ujauzito unaanza kutapatapa,wala hajishugulishi tena na wewe.subiri mume wako yupo utapata tu wa kukufaa wewe atakayekupenda kwa dhati usilazimishe mambo,haya mambo ya kusema nampenda sana siwezi kumuacha ndo yanayowaponza unajikuta umeingia kwenye ndoa siku ya tatu mume analala nje,unalia machozi ya damu!!nawaonea huruma sana dada zangu mkishapenda hamuoni mbele unaangalia hapohapo ulipo.mnahitaji neema ya mungu kutoka katika giza mlilo nalo.
nitumie personal meseji tujadiliane, nitakusaidia na hautapata shida