Msaidizi wa Hesabu (Accounts Assistant), Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (1 Post)
| MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 1 POST |
| POST CATEGORY(S) | ACCOUNTING AND AUDITING |
| EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Musoma |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-04-12 2022-04-25 |
| JOB SUMMARY | N/A |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
- Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
- Kutunza Kumbukumbu za hesabu;
- Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
- Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
|
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
- Kuajiriwa wenye Cheti cha Astashahada ya Uhasibu kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au Cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa zingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.
|
| REMUNERATION | TGS B |
Mwisho wa kutuma maombi ni Aprili 25, 2022
BONYEZA HAPA KUFANYA MAOMBI