waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 197
- 468
Wanachama wa chama cha Tanzania Labour Part {TLP} wamemtaka msajili wa vyama vya siasa kuacha kushirikiana na katibu mkuu wa chama hicho Limo kukiingiza chama katika mgogoro na wanachama wake walioko mikoani .
Wakiongea na msajili wa vyama Sisty Nyahoza kwa njia ya simu wamemtaka kuacha kusimamia uchaguzi feki ambao umeitishwa katika ukumbi wa hotel ya Mrina ilioko maeneo ya tip top manzese Jijini Dar es salaam .
Sisi kama wanachama wa Tanzania labour part hatutambui uchaguzi huo kwani atujajulishwa na wale viongozi wetu wa kitaifa awana taharifa zozote kuhusu mkutano mkuu wa Tlp wa kuchagua viongozi limo anafanya uchaguzi kiuni na wajumbe bandia
Lengo lake ni kutaka madaraka kwa wanachama alio wanunua na kuwaacha wanama hai bila kutimiza haki ya kikatiba .
Baadhi ya viongozi wa TLP akiwemo Mwenezi wa Taifa na Mwenyekiti wa Sasa wamesema awatambui uchaguzi huo na wameshaongea na msajili Sisty na kujibiwa kwamba suala lao linafanyiwa kazi .