Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ingekuwa CDM wapinzani wa kweli kesi ingeshafika mahakamani! Na zuio kutembezwa!Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.
Monalisa amewasili katika ofisi hizo akiwa ameambatana na mawakili wake watatu na alipokelewa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.
Akizungumzana na Jambo TV kuhusu suala hilo, Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kwamba wamepata nafasi ya kuendelea kusisitiza hoja zao ambazo awali waliziwasilisha kimaandishi kwamba uteuzi wa Mpina ulikuwa halali hivyo chama hicho kinasubiri uamuzi wa Msajili.
View attachment 3450376
Kwanini hakuwaketisha CCM na Mzee Malisa?Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.
Monalisa amewasili katika ofisi hizo akiwa ameambatana na mawakili wake watatu na alipokelewa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.
Akizungumzana na Jambo TV kuhusu suala hilo, Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kwamba wamepata nafasi ya kuendelea kusisitiza hoja zao ambazo awali waliziwasilisha kimaandishi kwamba uteuzi wa Mpina ulikuwa halali hivyo chama hicho kinasubiri uamuzi wa Msajili.
View attachment 3450376
Mbona hakumketisha Mchome na Chadema, badala yake akampangishia nyumba Masaki?Ingekuwa CDM wapinzani wa kweli kesi ingeshafika mahakamani! Na zuio kutembezwa!
Project haiwezi kuairishwa hata siku moja. Utasikia tu msajili katupilia mbali hoja za mlalamikaji na Mpina anaendelea kugombea.Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.
Monalisa amewasili katika ofisi hizo akiwa ameambatana na mawakili wake watatu na alipokelewa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.
Akizungumzana na Jambo TV kuhusu suala hilo, Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kwamba wamepata nafasi ya kuendelea kusisitiza hoja zao ambazo awali waliziwasilisha kimaandishi kwamba uteuzi wa Mpina ulikuwa halali hivyo chama hicho kinasubiri uamuzi wa Msajili.
View attachment 3450376
Chezea utamu wa unyeo wa Mchome. Hata ungelikuwa wewe ungempangishia tu. Sisi wa makunduchi na mchamawima ndo zetu.Mbona hakumketisha Mchome na Chadema, badala yake akampangishia nyumba Masaki?
Project hizo! Balozi Pole Pole ataeleweka hadi kwa wasiosikia na wasioona!Mbona hakumketisha Mchome na Chadema, badala yake akampangishia nyumba Masaki?
monalisa Yuko siriazi mtazame nyahoza naibu msajili mwangalie vizuri usoni kunakitu kizito kama kapigwa nacho hiviHao ni ndugu watamaliza kindugu
Project chama uvundoKatibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.