Kwani Watanganyika wana haki gani huko Zanzibar?CHADEMA wanahamasisha na kuchochea ubaguzi kati ya wananchi wa Zanzibar na Bara,wanasema wazanzibari hawana haki huku Bara,wanasema hawastahili kushika uongozi ikiwepo Urais ,wanataka na kudhamiria na kutaka kuhamasisha kuuvunja muungano.
Sasa huyo bashite anayo akili ya kumjibu Lissu?Kuwa mpole mkuu usiogope hakuna lolote roho ikitaka kuacha mwili lazima mtu atape tape Samia kafanya kosa kumuondoa makonda pale kaweka watu wachovu sababu ya kuwasikiliza nape na ndugu yake wa yamini!
Kamuulize!Sasa huyo bashite anayo akili ya kumjibu Lissu?
Kwani Jusa anasema je kuhusu Muungano. Mbona risasi zinaelekezwa kwa Lissu peke yake...!? Jibuni hoja msikimbilie kutumia nguvu za dola.CHADEMA wanahamasisha na kuchochea ubaguzi kati ya wananchi wa Zanzibar na Bara,wanasema wazanzibari hawana haki huku Bara,wanasema hawastahili kushika uongozi ikiwepo Urais ,wanataka na kudhamiria na kutaka kuhamasisha kuuvunja muungano.
Huyo lucas ni mwezi mchanga.Chadema ni chama kikubwa sana na kimebeba matumaini mengi sana ya watanzania hasa wa hali ya chini ambao hawana ajira au wenye kipato kidogo hivyo kama serikalii ikijaribu kukifuta ni kutafuta mfarakano katika jamii cos italeta shida au mafuriko ya fujo kama Sudan au somalia watu watauwana sana.....
Serikali ipo na watu makini na washajua ilo kwamba ni hatari kuendelea kuwafanya watanzania wajinga cos ile kasumba ya watu waadilifu inaenda kupotea taratibu saivi kuna vijana hawana cha kupoteza na wengi wapo kwenye tumaini la chadema labda watapata nafuu endapo chama hicho kikishika inchi hivyoo Mkuu Lucas hilil jambo sio jepes kama unavyozani.......
Huna akiliHuyo lucas ni mwezi mchanga.
mbona wananchi watakuwa upande wa Lisu/chadema, amesema ukweli wote Lisu na ndicho watanganyika wengi walitamani kukisikia.Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari kubwa inayoletwa na CHADEMA hapa nchini? Msajili unaendeleaje kupokea mshahara ambao ni kodi zetu watanzania wakati unatuweka hatarini watanzania na amani ya Taifa letu?
Sheria ya vyama vya siasa inakataza na kupiga marufuku kabisa kwa chama chochote cha siasa kufanya siasa zenye kuchochea ubaguzi kwa misingi ya Udini, ukabila na hata ukanda.sheria inakataza pia kwa chama cha siasa kunadi sera zinazohamasisha au zenye lengo la kuvunja muungano wetu au zenye lengo za kufanya siasa za upande mmoja tu wa muungano.
Lakini leo hii tunashuhudia CHADEMA kupitia viongozi wake wakichochea chuki kali sana na kupandikiza uasi wa kuuvunja muungano wetu pamoja na kuchochea ukanda pasipo kuchukuliwa hatua za aina yoyote ile.ni hatari sana hii inayokuja kwa Taifa letu ikiwa hali hii ya kupandikiza mbegu za ubaguzi itaachwa iendelee kuhubiliwa na kuenezwa na CHADEMA.hii siyo siasa tuliyoitaka watanzania.hatukutaka siasa za kuja kutugawa watanzania na kulipasua Taifa letu.
Tulihitaji siasa za hoja,siasa za sera mbadala, siasa za fikira na mawazo mbadala juu ya ujenzi wa Taifa letu,siasa za hoja ya namna bora ya kulipeleka mbele Taifa letu .Siasa za mawazo mapya ya namna bora ya kutumia rasilimali zetu kwa usahihi katika kuinua uchumi wa Taifa letu na kuboresha maisha ya watanzania wote pamoja na usambazaji wa huduma za kijamii pamoja na kupunguza utegemezi.
Lakini inaogopesha na kutisha sana tunapoona CHADEMA imebadili majukwaa ya kisiasa kuwa uwanja wa kuwasha moto wa kuchochea machafuko kwa Taifa letu.chadema wameishiwa hoja za kuwashawishi watanzania na sasa wameamua waanze kupandikiza mbegu za ubaguzi na chuki kwenye mioyo ya watanzania. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana ,ni sawa na kula nyama ya mtu ambapo huwezi ukaacha ukishakula nyama hiyo.
leo CHADEMA wameanza kupandikiza mbegu ya ubaguzi ,jinsia , ukanda na mengine mengi.hawataishia hapo bali wataenda mbele zaidi kuanza ubaguzi wa mkoa na mkoa kwa kusema mkoa huu unachangia mapato makubwa sana na hivyo ujitenge na kupewa hadhi ya aina yake.
Msajili wa vyama vya siasa amka ofisini haraka sana uchukue hatua kali sana kabla nchi haijaingia katika matatizo ambayo yatalisambaratisha na kuligawa Taifa vipande vipande. Tumia sheria kuwaadhibu CHADEMA kwa kuwa tayari wameshavunja sheria zote za usajili wao .na sasa wanastahili kufutiwa usajili. Mambo yanaanzaga hivi hivi mpaka mwisho inakuwa donda ndugu litakalolitesa Taifa lote..
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Siyo kazi yenu kuwapangia CDM cha kufanya. Sera mbadala wapelekeeni CCM B.Tunataka vyama vyenye mawazo mbadala,sera mbadala ,ajenda zenye kugusa maisha ya watu.na siyo vyama kama CHADEMA vyenye kichocheo machafuko,ubaguzi na mifarakano ndani ya Taifa letu.
Kuanzia leo jina lako ni msukuleSiyo kazi yenu kuwapangia CDM cha kufanya. Sera mbadala wapelekeeni CCM B.
Tanzania ina vyama vingapi vya siasa? Kwanini tuache chama kilichojigeuza kuwa genge la wahuni wa kueneza ubaguzi na chuki kuendelea kuhatarisha amani na usalama wa Taifa letu?Unajua hata mwenyekiti wa CCM na msajili wa vyama wakisoma huu uzi watakuona ni kilaza sana. Lucas unatakiwa ujue hizo hela zinazotajwa kuwa katoa mama nyingi zinatoka kwa mabeberu ambapo sharti mojawapo ili uzipate ni kuachia demokrasia itamalaki. Unavyoona CHADEMA wanaachwa wapayuke na kuandamana sio kwa bahati mbaya. Kuwafutia chama chao italeta balaa zito kuliko unavyofikiri. Acha kumtaka MSAJILI afanye huo upuuzi unaouwaza.
Chama kilichowahi kupata kura zaidi ya 6m unawezaje kukiita genge la wahuni? Wewe ndo unahatarisha usalama wa Taifa kwa kushauri upumbavu. Kakae na wakubwa zako wakueleweshe kwanini CHADEMA wanaruhusiwa kuandamana na kuropoka.Tanzania ina vyama vingapi vya siasa? Kwanini tuache chama kilichojigeuza kuwa genge la wahuni wa kueneza ubaguzi na chuki kuendelea kuhatarisha amani na usalama wa Taifa letu?
Muhuni ni muhuni tu hata kama atavaa suti atabakia kuwa muhuni tu.Chama kilichowahi kupata kura zaidi ya 6m unawezaje kukiita genge la wahuni? Wewe ndo unahatarisha usalama wa Taifa kwa kushauri upumbavu. Kakae na wakubwa zako wakueleweshe kwanini CHADEMA wanaruhusiwa kuandamana na kuropoka.
Ahsante Kwa kushiriki kujibu comment yanguKuanzia leo jina lako ni msukule
Alifanya nini kwa wale Chipukizi wa Sisiemu?Tulieni dawa iingie hadi kwenye mifupaNdugu zangu Watanzania,