Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

Nimeongea naye hapa muda si mrefu, kasema atakifuta akipata ufutio...
 
CCM jibuni hoja msikimbilie kutumia serikali vibaya. Lisasi moja ya hoja ya lissu inafanya mnataka kutumia serikali kufuta chadema. Je huko mbele mtaweza kweli? Maana lissu akiachia lisasi jingine lazima muweweseke
 
Lukas mwashambwa fanya basi utembelee zanzibar uje ukae hata mwezi, uone wazanzibar walivyowabaguzi kwa watu wa bara akiwa na mtu wa bara yeye hujiona wa juu sana, wanapenda kutupakazia tabia mbaya sana kila wakati.
 
CHADEMA wanahamasisha na kuchochea ubaguzi kati ya wananchi wa Zanzibar na Bara,wanasema wazanzibari hawana haki huku Bara,wanasema hawastahili kushika uongozi ikiwepo Urais ,wanataka na kudhamiria na kutaka kuhamasisha kuuvunja muungano.
Na watu wa bara Wana haki ya kushuka uongoz Zanzibar? Na watu wa bara wanaweza kua viongoz Zanzibar???
 
Hapa wazazi wako walipata hasara.

Ujinga wa utotoni unaweza kuondolewa ila ujinga wa ukubwani hauna tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…