Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

CHADEMA wanahamasisha na kuchochea ubaguzi kati ya wananchi wa Zanzibar na Bara,wanasema wazanzibari hawana haki huku Bara,wanasema hawastahili kushika uongozi ikiwepo Urais ,wanataka na kudhamiria na kutaka kuhamasisha kuuvunja muungano.
Kwa hiyo unataka kuwapangia Cha kuwaambia wafuasi wao? Kwanii wao Kama chama Chao kinaona muungano haufai Kuna shida gan? Wananchi si ndio wenye uamuzi.
 
Kwa hiyo unataka kuwapangia Cha kuwaambia wafuasi wao? Kwanii wao Kama chama Chao kinaona muungano haufai Kuna shida gan? Wananchi si ndio wenye uamuzi.
Sheria hairuhusu chama cha siasa kufanya siasa za kuchochea ubaguzi kwa misingi ya aina yoyote ile pamoja na kuhamasisha kuuvunja muungano wetu.
 
CHADEMA wanahamasisha na kuchochea ubaguzi kati ya wananchi wa Zanzibar na Bara,wanasema wazanzibari hawana haki huku Bara,wanasema hawastahili kushika uongozi ikiwepo Urais ,wanataka na kudhamiria na kutaka kuhamasisha kuuvunja muungano.
Ccm ndio namba moja wa mambo hayo.
 
Huyo anajua kitu basi! Ni sifuri
KItabu nimekisoma na ninakijua na mimi ni mwanachama wa Kitambo wa CCM (Japo siendekezi Upuuzi)..

Swali ni Kurelate na Kufanya Refference ya Hicho kitabu na Point yenu ndo nachosubiria..
Na ni kiyu ambacho najua Hamuwezi kwa sababu CCM imeuliwa sana na nyinyi watoto ambao mnaropoka Bila kujua Hata mnaongea nini..

Kama ungeweza unheniambia Ni lini Hasa mzanzibar alikuwa Anaruhusiwa Kutawala Bara..

Nataka Tujadili kwa Hoja na Sio Utashi ea Mtu binafsi na Najua hilo pia Hamuwezi
 
Kijana tafuta pesa ujenge maisha yako

Siasa za chadema hazitakufikisha popote pale hao wenzako wanacheza siasa za maigizo
 
Mama samia ameshindwa kumfuta msajili na wewe unapingana naye?
 
hovyo kabisa, hoja za kipuuzi unatoa. kwamba raslimali na utajiri wa nchi utapanywe wachache ndio wanafaidi halafu tukae kimya kwa mwamvuli wa sheria za hovyo zilizopitwa na wakati
 
hovyo kabisa, hoja za kipuuzi unatoa. kwamba raslimali na utajiri wa nchi utapanywe wachache ndio wanafaidi halafu tukae kimya kwa mwamvuli wa sheria za hovyo zilizopitwa na wakati
Acha ujinga wako hapa kutetea ujinga wa CHADEMA
 
Tatizo lukas mwashamba unamahaba makubwa sana na ccm na unachuki na chadema, ndo maana uoni uozo wa ccm , na huu muungano, hauna faida na kutokana na katiba, ilivyotungwa, ?
 
Tatizo lukas mwashamba unamahaba makubwa sana na ccm na unachuki na chadema, ndo maana uoni uozo wa ccm , na huu muungano, hauna faida na kutokana na katiba, ilivyotungwa, ?
Siwezi kunyamaza napoona CHADEMA kwa uroho na uchu wake wa madaraka inaeta kauli za kuchochea ubaguzi na machafuko hapa nchini pamoja na kuvunja muungano wetu huu adhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…