Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amedai kwamba wale wasiorudisha Fomu za Gharama za Uchaguzi hawataongezewa muda na wataondolewa katika kujihusiha na uchaguzi!
Kazi ipo mwaka huu, wagombea wasije wakaingia kwenye mtego huu mbaya!
Source: TBC1.