Msako wa Che Guevara: Jinsi gani Kikosi Maalumu toka USA kilihusika na mauaji ya Mwanapinduzi huyo

Hamna shida ndugu yangu. Mi mtanzania tu kila mkoa wangu na kabila langu ni mswahili tu.

Kama hutajali

Unatokea sehemu gani ndani ya nchi?

Nahitaji tuonane tupeane uzoefu wa maisha kidogo.
 
Nioneshe nlipokopi na kupaste ili usionekane unaongea kwa wivu wa kike na majungu. Bado hujakua tu? Ukionesha nimekopi na kupaste wapi nawarifu moderators wanifungie Mwaka mzima. Nawe ji commit hapa. Inatakiwa ukue uache tabia za wanawake wa kiswahili. Tumia elimu hata ndogo tu uoneshe busara.

BWANA GuDume UMEACHA STORI ZAKO ZA KINDEZI, AFADHALI YA SASA INGAWA UNAKOPI NA KUPASTE
 
Ndugu umejitahidi sana kuelezea hii Historia ya Che Guevara Big Up sana... But tatizo unataka kuiandika katika mfumo wa Riwaya wakati hii ni Historia. Nadhani ulitakiwa kuimalizia yote kabisa mpaka mwisho ili hadhira ipate elimu unayokusudia kuitoa. ingependeza sana
 
nfahamu ndugu yangu sema ubusy halafu nimekosa utulivu na kuwa disappointed @mods kuileta huku wakati mimi nlitaka niiweke jukwaa la intellijensi sababu nilitaka watu tujifunze intelijensia za wenzetu
 
aiseh umeniudhi kweli kukatisha hii story.umeniudhi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…