Msala wamashukia Pogba

During the game vs Switzerland, ugly scenes for France (EDS):
  • Rabiot & Pogba insulted each other - Rabiot unhappy with Pogba's defensive efforts
  • Varane insulted Pavard, unhappy with his defending
  • Pavard blamed Pogba, for doing no defending, Varane later backed Pavard up
 
๐Ÿšจ๐ŸŒ–| After Varane told Pogba that Pavard was complaining about him, Pogba then went after Pavard and told him to repeat it to his face. @starragolequipe #rmalive
 
๐Ÿšจ๐ŸŒ–| Varane accused Pavard of making many defensive mistakes, and Pavard replied that it was Pogba's fault, because of his lack of defensive cover, which then lead Varane to go after Pogba instead. @starragolequipe #rmalive
 
Rabiot's mother clashed with the families of Pogba and Mbappรฉ in the stands during France-Switzerland. Blamed Pogba because he lost a crucial ball and Mbappรฉ because of his "arrogance". [RMC] https://t.co/wAq4qCzIn9
 
Yaani hadi mama anapigana na wazazi wa wachezaji wenzie wa mwanae. Hatari sana

Kufungwa sio mchezo.
Kufungwa kunauma mkuu,kama mimi siku tumefungwa na kaizer chiefs nilikuwa najihisi kama nataka kupigana na mtu lakini simjui,natafuta wa kumlaumu simuoni nikabaki najifyonya fyonya tu
 
Mtoa mada anachangia mwenyewe.. very interesting
 
Kufungwa kunauma mkuu,kama mimi siku tumefungwa na kaizer chiefs nilikuwa najihisi kama nataka kupigana na mtu lakini simjui,natafuta wa kumlaumu simuoni nikabaki najifyonya fyonya tu
Ungepitia hapa mitaa ya kaunda tukuchangamshe
 
Adrien Rabiot mama yake ndiye agent wake

Burna Boy mama yake ndiye meneja wake.

Wazazi tujiongeze katika sanaa za vijana wetu.
 
Hawa wamama walikuwa wameshazipigia mahesabu hela za hili kombe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ