Kama Bilioni 19 za TANESCO walishindwa kulipa hadi Magufuli akaamua kulifuta deni. Je wataweza kulipa hizi bilioni 200 na point za mgao wa UVIKO-19? Pia kuna mkopo wa Trilioni 7 unakuja ambapo mgao wao 21% ni kama Trilioni 1.5, wataweza kulipa na hii?
Katiba imetaja jinsi ya kugawana mikopo, vipi kuhusu mgawo wa kulipa mkopo katiba inasemaje?
Mambo gani ya Muungano yanayoingiza fedha kutoka Zanzibar kuingia hazina kuu au ndio tule wote ulipe wewe?
"Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili"