Nadhani ni ushauri mzuri asante sana.Kama uko nyanda za juu kusini jaribu kutembelea hospitali zifuatazo, wao wanaweza kukwambia inakuwaje kwa vitendo zaidi, nenda Ilembula Njombe, Chimala Mbeya, Ikonda Makete, Igogwe Tukuyu, Bulongwa Makete, Peramiho Songea, Ipamba Iringa,Usokami Mfindi nk. Hizi ni hospitali binafsi,naamini watakupa uzoefu ktk hilo na inaweza kukufanya ukaokoa muda sana kwa kupata uzoefu wao.