new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Nataka leaf mkuu...nimekua natumia hybrid (Toyota Prius) sasa nataka pure fully electric car. But kila nikicheck calculator ya TRA nakosa kodi ya electric car kwakua calculator ya TRA inataka engine CC huku electric car haina CCNdio. Unataka ulete Model 3 au Leaf?
Kuna vigezo vingine nyuma ya huo msamaha ikiwemo umri wa ilo gari la umeme.
Msamaha uliosamehewa sio 100% kuna gharama zingine utalipia tu. Kilicho samehewa ni import tax ambayo kwa mfano gari la kodi million 8 importy tax unakuta mil 1.6 hivi.
Kama nimekosewa nisahihishwe.
Hivi ni kwli priys inatembea 30km kwa litaNataka leaf mkuu...nimekua natumia hybrid (Toyota Prius) sasa nataka pure fully electric car. But kila nikicheck calculator ya TRA nakosa kodi ya electric car kwakua calculator ya TRA inataka engine CC huku electric car haina CC
Ikiwa inatembea 30km/L iyo mbovu au uendeshaji wako m'bovu au umeweka Sport mode.
Unawatumia request mkuu. Wanakutumia ila nashauri ungeenda kwanza wacheki kabla haujaagiza.Nataka leaf mkuu...nimekua natumia hybrid (Toyota Prius) sasa nataka pure fully electric car. But kila nikicheck calculator ya TRA nakosa kodi ya electric car kwakua calculator ya TRA inataka engine CC huku electric car haina CC
Hii gari gani?Ikiwa inatembea 30km/L iyo mbovu au uendeshaji wako m'bovu au umeweka Sport mode.
Inabidi iende zaidi ya hapo.
Mfano gari la cc 2200 mimi lina average hii:View attachment 2692796
Asa Prius si inabidi iwe 35 hadi 40?
Kumbuka kuna muda Prius inaweza kwenda full Electric ata kwa kilometa 4-5.
Prius toleo gani?
No issue hii ya punguzo la kodi alipo applicable kwa hybrid cars hata kama ni plug-in-hybrid (PHEV)... Wizara wanataka gari iwe pure electric with no internal combustion engine..Unawatumia request mkuu. Wanakutumia ila nashauri ungeenda kwanza wacheki kabla haujaagiza.
Pili, kabla haujaenda full Electric kwanini usijaribu Prius Prime za kuchaji na bado Hybrid.
Hizi prius zinatofautiana..kuna zinazoenda km 100 bila engine kuwaka..(but hizo ni latest za mwaka 2023… mie natumia ya 2007 inaenda km 30 kwa lita moja ya petrol..Prius toleo gani?
Ndio...ukiwa na Prius C (kwa jina lingine Toyota acqua) inaenda zaidi ya hapo kwakua ni nyepesi kama vitz
Hapo nimekusoma. Naitamani Prius 3rd gen ila naogopa Battery ikifa.No issue hii ya punguzo la kodi alipo applicable kwa hybrid cars hata kama ni plug-in-hybrid (PHEV)... Wizara wanataka gari iwe pure electric with no internal combustion engine..
Kinacho ua battery ya hybrid ni joto mkuu, na joto nikutokana na mmiliku kutofanya service ya kusafisha au kubadlidsha filter ya feni inayopoza hybrid battery ambayo inapatikana kwenye kiti cha nyuma cha abiria, ukiwa unafanya regular service ya kuipuliza na upepo ile filter kuondoa vumbi lililogandia pale basi hybrid battery inakaa muda mrefu sana infact Toyota Prius ni gari reliable kuliko hizi regular cars na ina low maintenance costs kuliko gari za kawaida... Mie nanayo 2 generation..very reliable, dependable and durable car ilikuja na km50,000 now ina 170,000+km with no single issue....Hapo nimekusoma. Naitamani Prius 3rd gen ila naogopa Battery ikifa.
Very informative aisee. Nitampa mshikaji wangu mmoja ana Prius.Kinacho ua battery ya hybrid ni joto mkuu, na joto nikutokana na mmiliku kutofanya service ya kusafisha au kubadlidsha filter ya feni inayopoza hybrid battery ambayo inapatikana kwenye kiti cha nyuma cha abiria, ukiwa unafanya regular service ya kuipuliza na upepo ile filter kuondoa vumbi lililogandia pale basi hybrid battery inakaa muda mrefu sana infact Toyota Prius ni gari reliable kuliko hizi regular cars na ina low maintenance costs kuliko gari za kawaida... Mie nanayo 2 generation..very reliable, dependable and durable car ilikuja na km50,000 now ina 170,000+km with no single issue....
Cha maungi ukinunua prius gen ya 3 zingatia service ya
1. Fan ya kupoza hybrid battery
2. Kufatilia uzima wa water pump inaYozungusha maji ya kupoza inverter pamoja na gearbox
3. Water pump inayozungusha maji ya kupoza engine (kumbuka third gen inakuja na electric water pumps zinazozungusha maji ya kupoza engine lakini pia maji ya kupoza inverter na gearbox) so hii electric pump kuna wakati zinakufa na usipojua dalili za water pump kufa unaweza kuua engine au Inverter though hii ni extreme case kwakua gari ipo na protection mechanisms before hizi catastrophic issues kutokea
4. Kingine cha kuzingatia ni service ya kusafisha EGR system basi..
Kumbuka gen 2 Prius haina mambo mengi kama prius gen 3 na kuendelea because of absence ya baadhi ya mifumo mfano engine ya gen2 haina EGR system, ina electric water pump moja tu ya kuzungusha maji ya kupoza hybrid system, but upande wa cooling system ya engine inatumia mechanical water pump inayozungushwa na engine pale engine inapowaka.. pia prius gen 2 hazina filter kwenye fan inaYopoza battery but ikitokea unapenda endesha vioo wazi basi itajaa uchafu but kama vioo juu basi fan haitakuja kukupa tabu kwa kujaa uchafu..
Common issue kwa Prius gen 2 ni buti kuvujisha maji na kuleta changamoto kwenye hybrid system na battery japo issues zinakua solved kwa cleaning na kuziba kwa silcon mahala maji yanapenya..baada ya hapo unasahau shida.
Kingine ambacho ni problem kwa prius ni kuharibika kwa water pump ya kupoza hybrid, but hii tatizo una replace hyo pump unasahau shida (mie niliweka ya pump ya BMW mpaka kwasho no issue..
Mkuu ebu tupe zaidi kuhusu hii prime PriusUnawatumia request mkuu. Wanakutumia ila nashauri ungeenda kwanza wacheki kabla haujaagiza.
Pili, kabla haujaenda full Electric kwanini usijaribu Prius Prime za kuchaji na bado Hybrid.
Mkuu hivi in case battery imekufa unaweza endelea tumia gari kama kawaida kwa upande wa mafuta.Kinacho ua battery ya hybrid ni joto mkuu, na joto nikutokana na mmiliku kutofanya service ya kusafisha au kubadlidsha filter ya feni inayopoza hybrid battery ambayo inapatikana kwenye kiti cha nyuma cha abiria, ukiwa unafanya regular service ya kuipuliza na upepo ile filter kuondoa vumbi lililogandia pale basi hybrid battery inakaa muda mrefu sana infact Toyota Prius ni gari reliable kuliko hizi regular cars na ina low maintenance costs kuliko gari za kawaida... Mie nanayo 2 generation..very reliable, dependable and durable car ilikuja na km50,000 now ina 170,000+km with no single issue....
Cha maungi ukinunua prius gen ya 3 zingatia service ya
1. Fan ya kupoza hybrid battery
2. Kufatilia uzima wa water pump inaYozungusha maji ya kupoza inverter pamoja na gearbox
3. Water pump inayozungusha maji ya kupoza engine (kumbuka third gen inakuja na electric water pumps zinazozungusha maji ya kupoza engine lakini pia maji ya kupoza inverter na gearbox) so hii electric pump kuna wakati zinakufa na usipojua dalili za water pump kufa unaweza kuua engine au Inverter though hii ni extreme case kwakua gari ipo na protection mechanisms before hizi catastrophic issues kutokea
4. Kingine cha kuzingatia ni service ya kusafisha EGR system basi..
Kumbuka gen 2 Prius haina mambo mengi kama prius gen 3 na kuendelea because of absence ya baadhi ya mifumo mfano engine ya gen2 haina EGR system, ina electric water pump moja tu ya kuzungusha maji ya kupoza hybrid system, but upande wa cooling system ya engine inatumia mechanical water pump inayozungushwa na engine pale engine inapowaka.. pia prius gen 2 hazina filter kwenye fan inaYopoza battery but ikitokea unapenda endesha vioo wazi basi itajaa uchafu but kama vioo juu basi fan haitakuja kukupa tabu kwa kujaa uchafu..
Common issue kwa Prius gen 2 ni buti kuvujisha maji na kuleta changamoto kwenye hybrid system na battery japo issues zinakua solved kwa cleaning na kuziba kwa silcon mahala maji yanapenya..baada ya hapo unasahau shida.
Kingine ambacho ni problem kwa prius ni kuharibika kwa water pump ya kupoza hybrid, but hii tatizo una replace hyo pump unasahau shida (mie niliweka ya pump ya BMW mpaka kwasho no issue..
Unaimport batteryHapo nimekusoma. Naitamani Prius 3rd gen ila naogopa Battery ikifa.
Ni kama Prius ya kawaida, ila unaichaji pia. Ina range kubwa sana ya full EV unakuta ata kilometers 50+Mkuu ebu tupe zaidi kuhusu hii prime Prius