Wakuu naomba ufafanuzi
Kwa muda sasa nimesikia kwamba kuna makampuni ambayo hupata nafuu ya kodi( Tax holiday) lengo likiwa ni kuvutia uwekezaji nchini!
Naomba kuelewa katika hili
1. Ni makampuni yenye sifa zipi ambayo hunufaika na Msamaha huu?
2. Ni kwa makampuni ya kigeni tu au hata ya sisi wazalendo tunaweza kupata nafuu hii??
Asanteni kwa ufafanuzi wenu
Thegame