Msamaha wa ushuru kwa vyombo vya usafiri(magari/pikipiki) kwa watumishi wa Umma

ClearingAgent

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
29
Reaction score
26
Utangulizi
Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki).

Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha
(a) Magari

(b) Pikipiki za aina zote

Ushuru unaosamehewa

Mtumihi wa umma alietimiza masharti yote yanayotakiwa kwa mujibu wa sheria atasamehewa kulipa ushuru wa forodha(ikport duty) tu. Kodi na ada zingine kama kodi ya ongezeko la thamani(VAT), ushuru wa bidhaa(Excise duty) na ada za usajili atatakiwa kulipa.

Taratibu muhimu za kufuata

NB: Kwa ambao wanaagiza vyombo vya usafiri toka nje wanatakiwa kufanya utaratibu wa kupata msamaha wa ushuru wiki mbili kabla ya chimbo husika hakijafika hapa nchini.
 
Mkuu ungekuwa una nia ya kuelimisha ungeandika vizuri sasa hapo ni kama unahitaji watu wakifute what's app!
 
Usumbufu wote huo wa nini.kama serikali wangekuwa wanajielewa wangezifuta hizo pasipo kuangalia huyu mtumishi au siyo mtumishi.Yaani uanze kupeleka Siri zako zote za kazini kuanzia mshahara wako,kupandishwa cheo na mengineyo ni usumbufu tu na ni Bora ukalipa hizo Kodi zao za kijuha walizoziweka Hawa wabunge wetu vichaa.
 
Huo ndio utaratibu wao na watu wanafanya na wanafanikiwa. Pia kama mtumishi wa umma hana siri kwa serikali kama mshahara anapewa na serikali hivo serikali ikihitaji kukujua inakujua kwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…