Msamaha wa ushuru wafanyakazi wa umma/serikali

Msamaha wa ushuru wafanyakazi wa umma/serikali

yutong

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
1,601
Reaction score
338
waheshimiwa habari zenu, hivi kwa sisi watumishi wa uma/serikali ule msamaha wa ushuru wa magari bandarini bado ipo ama umefutwa?
 
angalia usiingie chaka ukatelekeza vitu bandarini, soma budget ya 2012/13 kuna mabadiliko makubwa sana kwenye misamaha ya kodi.. Nakumbuka imefutwa!
 
angalia usiingie chaka ukatelekeza vitu bandarini, soma budget ya 2012/13 kuna mabadiliko makubwa sana kwenye misamaha ya kodi.. Nakumbuka imefutwa!

Kaka hivi ni kwei mfanyakazi wa umma au serikali akiagiza gari kodi ya tra hatalipa? Ina maaana hatalipa hata cent?
Naomba nisaideni mnihakishie jambo hili
asante
 
Back
Top Bottom