Msambazaji vitabu anahitajika

Msambazaji vitabu anahitajika

MarkD

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
72
Reaction score
43
Hallow kama una ndugu ama jamaa anayetaka kufanya kazi ya kusambaza vitabu kwa muda wa wiki moja kwa malipo mazuri mjulishe tuwasiliane kwa 0712 066 064 au 0753 12 54 74. Hakuna elimu yoyote inayohitajika. Muhimu ajue maeneo mbalimbali ya jiji la dar es salaam atakako elekezwa kupeleka vitabu hivyo.
 
nipo tayari,,naitwa chuck henry...pls let talk
 
Back
Top Bottom