Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

Inawezekana kabisa hili ndo limetokea. CCM wana mambo mengi ya kitoto.
 

Ni kweli hajatumia proper procedure.
 
hizo ni conspiracies tu kujaribu kuonesha amelazimishwa, wewe kwa kusimangwa kule kwa juzi ungeendelea na kazi!?..
maana raisi alionesha hataki tena kufanya nae kazi na kilichokuwa kinaenda kutokea ni kuvuliwa uanachama..
 
Usisahau yeye ni speaker batili wa bunge batili lililopatikana kwa uchaguzi batili. Laana ya kubaka chaguzi haitawaacha salama wahusika wakuu. Imeanza kwa mhusika mkuu wa Chato, imekuja kongwa, sasa tunasubiria Mahaka tuone muwakilishi atakuwa nani
 
 
Wanabodi,

Naomba kuanza kwa declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wachache waliowahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa maandiko yangu, ya kulituhumu Bunge kujipendekeza kwa serikali,...
Paschal wewe pia unatumika. Swala la mikopo Inasemekana Magufuli alikopa zaidi kwa vitu ambavyo havijafika kokote. Swala hapa ni kupigania kujua ukweli kuhusu Deni la taifa. Nani alikopa lini na kiasi gani. Sio kushiriki ushabiki ukiwa gizani. Hujui lolote na huu ni unafiki mkubwa
 
Wanabodi,

Naomba kuanza kwa declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wachache waliowahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa maandiko yangu, ya kulituhumu Bunge kujipendekeza kwa serikali...
Roho ikitaka kuacha mwili ndio inakuwa hivyo jobo siku zake zinahesabika hakika atakufa,si maneno yangu bali ni ya godbless lema
 
Ndo mjue huyu alikuwa ni Spika matope tu hajui katiba ya nchi wala kanuni za bunge
 
Hii sio barua ya kujiuzulu, hii ni taarifa kwa umma, barua ya kujiuzulu ilishaenda inako husika, vipi mnakuja kwa pupa? Kuomba usipika unadhaminiwa na chama, hivyo unaomba kupitia chama, hivyo kujiuzulu utapeleka maombi ulikoomba yaani kwenye chama, job yuko sahihi. Chama ndicho kinapeleka jina la mgombea wa spika bungeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…