Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

Ndugai alishazoea kutofuata utaratibu, kwahiyo yawezekana pia kuandika mwenyewe waraka huo. Angalia alivyopokea na ku retain wale 19.
 
Jamaa nilijinga na limefanya upuuz mwing tu.

Lakin kwa hii inshu ya mikopo jamaa alkuwa sahihi,sema tu tz vichwa maji na wachumia tumbo n wengi
 
Na wewe usituchoshe bana, ile barua kaandikiwa na kaunda suti kaambiwa asaini tu au ashughurikiwe, hivi kwa akili zako yule mwehu angeweza kujiuzulu uspika alivyokuwa analinga nao?

Ndio muandishi alikuwa yuko on rush maandishi yote ALL CAPS

Cha msingi ameng'oka hayo mengine wala hatuna issue nayo, mnataka katiba ifuatwe kivipi wakati huyo chizi wenu kaokota vibaka mtaani wapo ndani ya nyumba na wanaitwa wabunge? Mbaya zaidi hawalipi pesa zake bali kodi zetu.
 
Pascal,

Hii ni notification kwa public kuwa Job ****** amejiuzulu.

Barua ya kwenda kwa katibu wa bunge na copy kwa CCM au vice-versa haipo hapo. So you cannot judge ukweli wataujua KM wa Bunge na KM wa Chama. Inawezekana amequote kimakosa issue ya barua kwenda wapi na copy kwenda wapi.

But in essence barua haipo so hatuwezi kuijadili makosa yake if any.

But ukiangalia mambo ya utaratibu kutofuatwa hii ni kawaida huko bungeni. Kwani wale wabunge wa Chadema 19 utaratibu gani unawaweka pale ? Lissu alivuliwa ubunge kinyama kabisa, Wabunge wa CUF, CAG Assad nk.
 
Chama ndio kimemdhamini yeye kupata uspika, hivyo ni lazima kukijulisha chama chake kusudio lake la kujiuzulu kama mdhamini mkuu, kifungu husika cha katiba kipo general na kina maanisha Spika anaweza asitokane na Chama akawa mtu huru so hana jukumu la kumtaarifu mtu yoyote zaidi ya katibu wa bunge.So kilichofanyika ni sahihi. Na kumbuka Spika kajiuzulu siyo kwa kosa lolote la kikatiba au kisheria ka katiba inavyotaka kumbatilisha spika,bali ni mgogoro wa kisiasa (kichama) na ndio maana kakubali yaishe kwa mustakabali wa chama maana accusations zilitoka kwenye chama.
 
Siku zote BUNGE la TANZANIA LINAFANYA KAZI ZA CCM ndio maana NDUGAI kamwandikia barua mwajiri wake CCM WATANZANIA TUNATAKA KATIBA MPYA kuondoa Bunge kuwa la CCM NA Serikali kuwa Sehemu ya ccm
 
Mara paap Ndugai hajajiuzulu hiyo Barua inayo sambaa Ni Barua fake. Ndugai bado spika
 

Mkuu pascal hii letter head ni capture kutoka kwenye ile pendwa ya wito?
 
Too late Pascali.
Kama msamaha ulikataliwa, kwa nini barua isikataliwe pia?

Kuna moshi unafuka
 
Tatizo linaanzia kwenye mfumo tulio copy and paste kutoka Uchina, CCP kule China ndio chama ndio serikali ie hapo chama kina nguvu kuliko serikali yenyewe sasa wakati wa Mwalimu tulikopi huu mfumo lakini tulipobadilika kwenda kwenye vyama vingi na soko huria, kuna mambo yakabaki vilevile ikiwemo hili la chama kushika hatamu na zidumu fikra za mwenyekiti matokeo ndio haya kiongozi wa mhimili wa bunge anajiuzulu kwa kupishana hoja na kiongozi wa Utendaji ambaye kimsingi ndio mwenyekiti wake wa chama sasa inapelekea hata barua ya kujiuzulu inakua addressed kwa katibu wa chama badala ya katibu wa bunge. suluhu la haya yote ni kupata katiba Bora itakayoweza kuondoa migogoro kama hii Kati ya chama na serikali pia hata miongoni mwa mihimili mikuu ya serikali tuweze kuwa na check and balance kuimarisha uwazi, uwajibikaji na matumizi bora ya rasilimali za umma kwa maendeleo endelevu ya taifa.
 
Mkuu wa Muhimili chombo kinachotunga sheria asiyejua hata namna ya kuandika barua, Ka kweli aende tu.
No wonder. Aliliharibu Sana Bunge likawa laughing stock!
Watu wamelidharau Sana Bunge kipindi chake. Akaswage Tu ng'ombe!

Everyday is Saturday.......................................😎
 
Na wewe mama D anaibarikije nchi yenye mambo ya hovyo namna hii ? [emoji35]

Baraka za Mungu sio sawa na za wanadamu. Tumwombe yeye na kumshukuru kwa kila jambo sababu uwezo wote uko mikononi mwake

1 Samueli 2:6
Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena.
 
Wana Jf, kuhusu Job kujiuzulu ni kuwa ameandika barua ya kujiuzuru, moja kwa Ccm waliomdhamini na moja kwa Katibu wa Bunge. Hiki kinachotrendi mitandaoni na kwenye vyombo vya habari ni 'Taarifa' ambayo anawajulisha Watanzania khs Kujiuzulu kwake. Mambo mengine ndo maana tunahtaji Katiba Mpya inayoendana na Mazingira ya sasa. Hata Rasimu ya 2012 bado ina mapungufu inahtaji marekebisho halafu ndo mchakato wa Katiba Mpya uendelee. Ahsanten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…