Shida ni kuwa dada akeKwani akipita nae shida ni nini?
Maua SamaSijawah sikiliza wimbo wa nandy mpak mwisho...naona aapigiwa promo sana na clouds ila ni wa kawaida sana..wapo weng wasanii wa kike wenye uwezo ila machine ni Maua sama...huyu dada next level aisee
ila mkuu, sikatai kuwa promo ni kitu muhimu sabb inasaidia kuitangaza bidhaa husika, ila muziki ni tofauti na michezo (basketball,tennis,soccer etc.) muziki huwa hauna formula.Sijawah sikiliza wimbo wa nandy mpak mwisho...naona aapigiwa promo sana na clouds ila ni wa kawaida sana..wapo weng wasanii wa kike wenye uwezo ila machine ni Maua sama...huyu dada next level aisee