Msami afunguka kuhusu taarifa za kutongozwa na Irene Uwoya

Msami afunguka kuhusu taarifa za kutongozwa na Irene Uwoya

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Staa wa Bongo Fleva, Msami Baby, anayetamba na kibao chake kipya cha So Fine, alichomshirikisha rapa machachari, Chemical amefungukia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, Irene Uwoya, alimtongoza.

Msami ambaye amevunja amri ya 6 na staa huyo wa Bongo Muvi kwa takribani miaka miwili, amefunguka kama ifuatavyo:

“Ni kweli tulikuwa wapenzi kwa muda wa miaka miwili, ila swali la nani alianza kumtongoza mwenzake hilo halina umuhimu hivyo siwezi kuliongelea.

“Kwa mara ya kwanza tulikutana lokesheni kwa ajili ya kushuti muvi yake ambayo ilinihitaji kutokana na uwezo wangu wa kucheza, hapo ndipo mahusiano yetu yalipoanzia, na mpaka sasa hakuna aliyewahi kumtamkia mwenziye kwamba amemuacha, tuliachana hewanihewani tu.”



muungwana
 
sasa mbona hapa ni vitu viwili tofaoti!!!
 
Kwa hiyo, ni kweli kuwa kwenye bongo movie ni bongo ngono!?

Aiseeeeeh, maana kila atakayeshiriki bongo movie, lazima ataishia kwenye bongo ngono!!

Any way, acha kazi iendelee maana hakuna namna.
 
Tatizo wanapapatuana wenyewe kwa wenyewe hlf baadae wanatolea siri,wangetugaia kina sie mgagaa na upwa tungewatunzia siri zao
 
Walitongozana hewani hewani na wameachana vyohvyo
 
Uwoya hata mie nisingeacha kumt.omba ,kajipendekeza nimuacheje sasa! Tena linavoonekana lile lina ile kitu ilojaa nyama( mtuno) na pana unasugua masaa yako hata matano au sita hivi bado umo tu kinenani
 
Back
Top Bottom