Msami amshauri Millardayo aende shule

Msami amshauri Millardayo aende shule

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
WanaJF nimemsikia aliyekuwa Mtangazaji wa TBC Joseph Msami kwenye kipindi cha Mkasi EATV akidai kuwa ndiye aliyempokea Millard na kumfundisha kazi enzi hizo wapo Radio ila kilio chake kwake kila siku ni dogo kwenda shule coz hata kama atavuma kiasi gani kuna sehemu atakwama kwa sababu ya Elimu yake, hivi ni kweli dogo shule hakuna?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama ndio aliomfundisha basi ni kweli hana shule,hivi msami kaacha kazi TBC kumbe? Lini ameacha kazi TBC? Nimekuta kipindi ndio kinaishia nimesikia anasema kwamba anakaa jirani na Havard university ni kweli au nimemsikia vibaya? Jamaa ile Raizoni aliyopiga katisha.
 
Mkuu na mi nimejua leo anadai kaajiriwa Redio ya UN idhaa ya Kiswahili hivyo anaishi Marekani.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama ndio aliomfundisha basi ni kweli hana shule,hivi msami kaacha kazi TBC kumbe? Lini ameacha kazi TBC? Nimekuta kipindi ndio kinaishia nimesikia anasema kwamba anakaa jirani na Havard university ni kweli au nimemsikia vibaya? Jamaa ile Raizoni aliyopiga katisha.

Hapo kwenye raizoni nimeshangaa sana......
 
Ifike mahala tuwe tunakubali na kuyapokea mabadiliko km yalivyo hasa yale chanya.ushauri wa msami ni sahihi kabisa ingawa kuna wengi watakaokuwa na tafsiri zao.na ww mleta uzi kwako shule unaitafsiri vp mpk uonyeshe kushangaa kwa kuulizia km kweli eti dogo shule hakuna.vyovyote iwavyo ujumbe ulikuwa ni mhusika aende shule kuongeza ujuzi.na si kila aendaye shule ni kwamba hana "shule" kichwani.ni hayo tu
 
kwa tabia ya wabongo kugeuza ukweli kua uadui sitoshangaa milard akitangaza kua na beef na msami
 
Kama ndio aliomfundisha basi ni kweli hana shule,hivi msami kaacha kazi TBC kumbe? Lini ameacha kazi TBC? Nimekuta kipindi ndio kinaishia nimesikia anasema kwamba anakaa jirani na Havard university ni kweli au nimemsikia vibaya? Jamaa ile Raizoni aliyopiga katisha.

Kavunjaa,,safi sana ile.
 
Asee kumbe huyu msami kala shavu....alikuwa mcheshi kwenye habari za TBC enzi hizo.
 
Marudio ya hicho kipindi ni lini?

Marudio huwa ni saa 8:00 au 8:30 mchana ila tega kuanzia saa 7.30 mchana nadhani kabla itatangulia marudio ya kipindi cha michezo na mambo ya nyumba halafu ndo mkasi inafuata.
 
Ifike mahala tuwe tunakubali na kuyapokea mabadiliko km yalivyo hasa yale chanya.ushauri wa msami ni sahihi kabisa ingawa kuna wengi watakaokuwa na tafsiri zao.na ww mleta uzi kwako shule unaitafsiri vp mpk uonyeshe kushangaa kwa kuulizia km kweli eti dogo shule hakuna.vyovyote iwavyo ujumbe ulikuwa ni mhusika aende shule kuongeza ujuzi.na si kila aendaye shule ni kwamba hana "shule" kichwani.ni hayo tu

Ni kweli inawezekana ana shule lakini haihusiani sana na sekta aliyopo na itakuwa ngumu kwake kupenya sehemu nyingine kama alipo Msami, ni ushauri muhimu.
 
Ifike mahala tuwe tunakubali na kuyapokea mabadiliko km yalivyo hasa yale chanya.ushauri wa msami ni sahihi kabisa ingawa kuna wengi watakaokuwa na tafsiri zao.na ww mleta uzi kwako shule unaitafsiri vp mpk uonyeshe kushangaa kwa kuulizia km kweli eti dogo shule hakuna.vyovyote iwavyo ujumbe ulikuwa ni mhusika aende shule kuongeza ujuzi.na si kila aendaye shule ni kwamba hana "shule" kichwani.ni hayo tu

Sasa wewe ndo umeongea point
 
kwani si kila mtu ana mamuzi yake bana yeye yupo uko kivyake na kama millard ayo hana mipango yakuwa uko aliko nini mbaya.
ila huyu mchaga anajua kuongea alikua anatoa tofauti iliopo nchi nyingine mpaka raha
jana mkasi nilifurahi sana kipindi kizuri sana kile.
 
Back
Top Bottom