Jamaa aliyeimba na kuja na kadance ka mabawa!!Huyo Msami simjui weka picha yake au weka clip yake tuone anavyocheza
sijawahi kuskia kitu kama hicho. nyie wekeni clip yake hapa tumuone.Jamaa aliyeimba na kuja na kadance ka mabawa!!
Kama una nia ya kumjua google, amejaa tele huko!! Anatumia msami baby.sijawahi kuskia kitu kama hicho. nyie wekeni clip yake hapa tumuone.
Huyo Msami simjui weka picha yake au weka clip yake tuone anavyocheza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Google bhana mambo gani ya kupeana H/work.
Msami fani yake ni dancing ndiko alikoanzia siyo kuimba hii kuimba imekuja baadae,kumlinganisha na Dai kwenye kudance ni vitu viwili tofauti.
Nani anajua zaidi kwenye dancing?