Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahahsMimi naufahamu huu wa kwetu unaosema MO katekwa na watu wasiojulikana
kwa hiyo unacheka kiingelezaHahahahahahahs
Hapana angalia jibu la mshikaj hilokwa hiyo unacheka kiingeleza
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kupotea kwa mwandishi Jamal Kashogi nchini Uturuki.Jana nimekumbana na msamiati mpya,"The interrogation that went wrong" au kwa Kiswahili "mahojiano yaliyokwenda kombo".Wenzangu mmeuona?