Msamiati Mpya!

Msamiati Mpya!

haya nukushi ni nini kiingereza ukipata jipigie makofi tafadhali
 
OK! Dadavuzi mpakato
Netbook itaitwa Dadatupu mpakato nadhani.
 
Usikute netbook inaitwa kakaVuzi mpakato

HILO NENO HALINA HESHIMA. Kama paroko anataka kutolea mfano laptop katika ibada yake, atajikuta anavuruga watu akiri kama akisema mwizi akiiba dadavuzi mpakato si lazima auwawe.
 
naona wengi tumechanganywa na neno dadavuzi. nafikiri neno hilo linajaribu tu kueleza kuwa chombo hicho kina uwezo wa kudadavua. that is kama hilo neno ni tafsiri ya kweli ya neno la kiingereza, laptop.
 
Back
Top Bottom