Msamiati wa kiswahili wenye maana ya dragon

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,271
Reaction score
1,493
Wanajamvi kwa anayejua kiswahili cha Dragoni
 
moto2012

Kwa mujibi wa Kamusi ya TUKI

dragon = dragoni; zimwi; mnyama mtambaachi mkubwa wa kubuni (mwenye mbawa na kucha, na daima hupumua moto).
dragon's blood n gundi nyekundu; (colloq) mtu mkali.

dragon
-fly n kerengende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…