Msamvu Morogoro

Mjini kuna mafuriko ya matope balaaa,hapo mji bado sana huo,mchafuuuuuuuuu
 
morogoro ni moja ya mikoa ambayo natamani sana siku moja nije niishi huko
 
Hiyo picha ya juu cruiser imekula mzigo wa kutosha, cheki ilivyochutama.
 
Hiyo picha ya juu cruiser imekula mzigo wa kutosha, cheki ilivyochutama.
Kweli Mkuuu hiyo chuma ya MSD imekula lumbesa ya Dawa hapo dereva huenda anaitafuta Buhigwe Watanzania wakapate tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…