Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
| POST | MSANIFU LUGHA DARAJA II - 1 POST |
| EMPLOYER | Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) |
| APPLICATION TIMELINE: | 2022-06-14 2022-06-27 |
| JOB SUMMARY | NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kusaidia kufanya kazi za utafiti kuhusu istilahi za masomo mbalimbali; ii. Kukusanya na kuchambua istihali mbalimbali kwa ajili ya usanifishaji; iii. Kuandaa orodha ya istilahi mbalimbali kwa ajili ya kutayarisha kamusi ndogondogo za taaluma; na iv. Kufanya kazi nyingine atakazopewa na mkuu wake wa kazi. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika kozi za Ualimu au za Lugha zinazohusisha somo la Kiswahili kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali. Awe na uwezo wa kutumia kompyuta. |
| REMUNERATION | PGSS 6 |
CLICK HERE TO APPLY