Hivi nn maana ya kuichana serikali??,nahisi utakuwa umemaanisha kiambia serikali,
Lakini em tuangalie mantiki ya huyu msaanii katika hili jambo alilosema,navojua mm.bangi,cocaine,mihadarati,heroin,na vingine vyote ni vinalevya!! Sasa waruhusu vip bangi nakato no moja kati ya madawa ya kulevya,ama anaongelea bangi ipi.
Binafsi nilikuwa namheshim sana afande sele tangu zaman za darubin kali,mtazamo,ndugu zangu,malaria,mkuki moyon na nyingine nyingi,hadi anatwaa tuzo ya mkali wa rhymes kwatu wengi walikuwa wanamkubali.
Katika miaka ya hivi karibun nahis huyu msanii kapotea mwelekeo na kuanza kufanya mambo amabyo kwa kiasi kikunwa yamempunguzia mashabiki nikiwemo mm.mfano mbaya ni pale alipovua surual jukwaan na kuonesha boxer yake ambayo hata hivo ilikuwa inamlegea!!.
Kitendo kile kwa mtu makini huwez sema kwamba ni mzuka ama suprise, na hata mziki wake huyu msanii sio kama wa kipindi kileni kwel nakubal kwamba kuna ushinsan kwa sasa na pia wasanii wameongezeka na challenge lakin pia kwa walio makin watagundua katika miaka hii amekuwa na majibizano katika nyimbo na msanii MADEE,
Ni hayo tu kwa sasa mnaweza kukosoa ama kuongezea chochote