Msanii Afande Sele aichana serikali iruhusu bangi ili vijana wasijiingize kwenye madawa ya kulevya

How come a plant created by God made illegal by human being
 
Hao wote wasingevuta madawa ya kulevya isingekuwa ni bangi, yaani wote walianza na bangi na kisha wakaingia kwenye unga! huyu Mgambo naye muda si mrefu atakuwa chizi!
 
naweza vaa suti nikanukia majani...naunga mkono hoja.
 
mbunge wetu wa Morogoro mjini kupitia CHADEMA, sisi watu wa morogoro tuna akili sana ..... na huyu ndiye chaguo letu
 
japo bangi inamadhara lakin i thnk inasaidia baadhi ya wa2 kuwa na busara na kuandika v2 vya akili
REF: wasanii wanao2mia
 
Wiz khalifa anasema kwenye moja ya nyimbo zake "when you live like this(smoke weed) you're suppose to party
Roll öne,smoke one and we all just having Fun"
itakuwaje Mitaani?
 
Wiz khalifa anasema kwenye moja ya nyimbo zake "when you live like this(smoke weed) you're suppose to party
Roll öne,smoke one and we all just having Fun"
itakuwaje Mitaani?


 
Mawazo ya wana CCM kwakua wao wana uhuru wa kujieleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…