Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Msanii Afu Ra mnamo mwezi wa Kwanza alitua bongo kuja kufanya show lakini kwasababu ya maandalizi mabovu na promo ndogo, show ilishindwa kufanyika kwasababu watu waliohudhuria hata 50 hawakufika, Kwanza Unity ndiyo waliogharamia kila kitu kumleta bongo lakini bahati mbaya mchongo ukafeli, sio mbaya I hope next time watajipanga na mambo yatakuwa fresh
Afu Ra anatokea katika kundi la Gangstarr Foundation, akiwa na wasanii wenzake Guru, Dj Premier, Bigshugs, Gusmo, Dj Pat, Guru na Premier ndio waasisi wa East Coast Hip Hop /Hardcore rap
Lakini hakikuharibika kitu kwasababu Afu Ra pamoja na mkewe walipata nafasi ya kutalii Dar es salaam na Arusha na wakapata fursa ya kujifunza mengi kama mjuavyo kusafiri ni mojawapo ya elimu kubwa duniani
Enjoy the pictures!!!!