Msanii Afu Ra wa Gangstarr Foundation kutoka Brooklyn Marekani atua Bongo aka Mzizima

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
Msanii Afu Ra mnamo mwezi wa Kwanza alitua bongo kuja kufanya show lakini kwasababu ya maandalizi mabovu na promo ndogo, show ilishindwa kufanyika kwasababu watu waliohudhuria hata 50 hawakufika, Kwanza Unity ndiyo waliogharamia kila kitu kumleta bongo lakini bahati mbaya mchongo ukafeli, sio mbaya I hope next time watajipanga na mambo yatakuwa fresh

Afu Ra anatokea katika kundi la Gangstarr Foundation, akiwa na wasanii wenzake Guru, Dj Premier, Bigshugs, Gusmo, Dj Pat, Guru na Premier ndio waasisi wa East Coast Hip Hop /Hardcore rap

Lakini hakikuharibika kitu kwasababu Afu Ra pamoja na mkewe walipata nafasi ya kutalii Dar es salaam na Arusha na wakapata fursa ya kujifunza mengi kama mjuavyo kusafiri ni mojawapo ya elimu kubwa duniani

Enjoy the pictures!!!!
 
Tatizo la msanii alioletwa hana jina nani watu wachache sana wanaemfahamu..

Hivyo ilikufanikisha tukio ilihitajika Promo la kufa mtu yani siunajua tena mziki wa sasa hivi ni ule wa kuaminishwa....

Ila hakaribie tena TZ
 
Atakuja bila shaka
 
afu ra a.k.a body of life force hii moja ya album yake bora ndani unakutana na kitu warfare
 
Ukiona hivyo ujue huu sio uwanja wako kasikilize vigodoro
hahaa huyo msanii wako mbona kama muimba singeli tu""

yaani niache kuwasikiliza watu kama kina Lupe fiasco" nas Escobar"..mc guru" common .j.cole then nimsikilize huyo"" nitakuwa na utindio wa ubongo aisee
 
Tatizo la msanii alioletwa hana jina nani watu wachache sana wanaemfahamu..

Hivyo ilikufanikisha tukio ilihitajika Promo la kufa mtu yani siunajua tena mziki wa sasa hivi ni ule wa kuaminishwa....

Ila hakaribie tena TZ
Watu wa Hip Hop tunamjua sana, Ila hatukupewa taarifa Na kiingilio kilikuwa bei Chee sana
 
hahaa huyo msanii wako mbona kama muimba singeli tu""

yaani niache kuwasikiliza watu kama kina Lupe fiasco" nas Escobar"..mc guru" common .j.cole then nimsikilize huyo"" nitakuwa na utindio wa ubongo aisee
Hahaa!!! Mkuu jifunze kuheshim harakati za watu mbona huyo jamaa yupo kundi moja na huyo Guru unaemkubali pale Gangstarr Foundation na amepiga kazi nying tu na wu tang clan au kwasababu tu amenyoa kiduku
 
hahaaa..tatizo wewe ulianza kunipa shit"" eti nikasikilize segere "" kama ungenipa profile yake tangu awali"" kuwa ameshafanya Nazi nahao manguli "" wala nisinge thubutu kumvunjia heshima....

ila nilikujibu vile ili na wewe uweze kutambua kuwa katika hii tasnia na mimi nimo"" hahaa
 
Siku wakimleta Jeru tha Damaja, au wakimleta Akinyele unisitue.
Pharaoeh monch nimezimiss sana purukushani zake.
Cannabis ndio kawa mwanajeshi ehh
Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] upo vizuri, heshima yako cannibus kafukuzwa jesh alikamatwa na bangi
Saiz anafanya harakati nina album zake kibao ghetto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…