Msanii Akothee(40), afunga pingu za maisha

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Msanii na mfanyabiashara Akothee hatimaye amefunga pingu za maisha na mpenzie Dennis 'omosh' Schweitzer.

Harusi hio kubwa iliyofanyika katika mgahawa wa Windsor Golf jijini Nairobi ilihudhuriwa na watu tajika wakiwemo Wabunge na Maseneta.

"Nimejaribu kufunga ndoa mara tatu lakini sikufanikiwa. Niliolewa tu mara moja na baba ya watoto wangu wa kwanza wawili, lakini waliofuata wazungu wawili hawajawahi kunioa. Nilidhani baba mtoto wangu wa tatu atanioa lakini halikutendeka." Amesema Akothee.

20230410_175823.jpg
 
View attachment 2583470
Huyo mzungu kalogwa unaacha mademu wazuri kama Kamene,Mercy kyalo
 
Hiyo ndoa ikidimu hata mwaka mniite naniliu,Niko palee👉👉
 
Back
Top Bottom