TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia



huku ni kujiua! loh waliobaki iwe fundisho
 
Yani inasikitisha sana hawa wasanii wetu sjui kwanini hawaachi. Mtu kama Langa, RayC,20%, na banza stone wako hatarini sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
only god can judge him..... Ni mla unga, mlevi and whatever ndo njia yake aliyoichagua......
 
Combination ya cocaine na heroin ni deadly,imehsuwa macelebrity wengi sana wa hollywood.fuatilia issue ya Belushi.Kina Ngwaifr wanaita cocktail wenzao wanaita crystal ball!Ni a dabgerous mix kwa sababu hizo drugs zinawork in a opposite kinda way,heroin inamwambia atulie(a cool down opiate)kama sikosei,ka cocaine kazi ni the opposite ya heroin..

Hiyo heroin tu na toxication ya alcohol kwahicho kiasi alichokunywa lazima ingemwondoa.

Wasanii mnaojiona macelebrity,jijengeeni utaratibu wa kujisomea na kufanya tafiti.Pengine mnegetambua kuwa mnalopita wengine wamepiga rangi.

Poleni sana wafiwa!
 

Mkuu,
What if ukipiga cocktail ya vyote vitatu @par??
 
R. I .P Albert

Vifo vinavyowakumba wasanii wengi ni katika umri mdogo na pengine kwa kupotea njia halali za maisha.


Mungu akupe rehema
 
taarifa za mtaani nyepesinyepesi zinasema alikuwa ni kontena ... alishabwia kete za kutosha ,.. zikampasukia tumboni kafia hoteli ..

R.I.P
Haiwezi kuwa kweli, ingekuwa wanaenda au ndio wameingia south basi ingeleta maana. Lakini walikuwa wanarudi ingekuwa biashara kichaa. Imagine mtu anabeba ndizi za bukoba kutoka dar anaenda nazo bukoba kuuza!!!! In short bei ya unga south ipo juu zaidi ya bongo
 
Nimeona picha ya Ngwea akiwa hospital tayari amefariki. Inasikitisha sana. Damu puani. Si vyema kuiweka mitandaoni picha ya mchizi katika hali ile kwa watakaoiaccess. R.I.P Ngwea

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

ok champ
 
Nimeona picha ya Ngwea akiwa hospital tayari amefariki. Inasikitisha sana. Damu puani. Si vyema kuiweka mitandaoni picha ya mchizi katika hali ile kwa watakaoiaccess. R.I.P Ngwea

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hebu weka tuone blaza,we unafikiri hao walioiweka wangewaza kama ulivyowaza,ungeiona?
 
huu ni kati ya nyimbo zake ambao naupenda saaaana mpaka leo hii....
najua kuuimba wooote, lol!
nakumbuka zamani mtu aki-beep anaitwa "promota" sababu ya huu wimbo......
 

Walau sasa tutakuwa tunajadili tukiwa na rejea. Ila, hii taarifa imetoka wapi na kwa nani? Maana isije ikawa watu tu wameiandika wenyewe. Kuna link labda ya ilikotoka?

Hebu bofya hapa
 
huu ni kati ya nyimbo zake ambao naupenda saaaana mpaka leo hii....
najua kuuimba wooote, lol!
nakumbuka zamani mtu aki-beep anaitwa "promota" sababu ya huu wimbo......

Moja ya picha za mwisho walizopiga kabla ya mauti kuwakumba.




Kifo chake kimetokea "kimya kimya" kama huu wimbo wao.

 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa nilikua simjui. I thought he was some politician or something
Ila EMT amenambia ni nani, kaniwekea na wimbo wake (Never heard!)

Tatizo Bongo celebrities ni wanasiasa.

Ukitaka tuu kuwa celebrity tangaza nia.
 
Moja ya picha za mwisho walizopiga kabla ya mauti kuwakumba.




Kifo chake kimetokea "kimya kimya" kama huu wimbo wao.


kwani wote wamekufa??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…