Muasisi wa uvaaji wa kabila hii ni Diamond Platinumz, Simba... Hata mambo ya wanja na mascara kwa wasanii wa kiume yeye ndio mkata utepe.Alianza ben paul,kaja alikiba, sijui nani anafuata?
Huyo sasa ndio malkia wa nguvu a.k.a kipusaunatafuta watu ugomvi..hahahahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38]