Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa Kenya

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,500
Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.

Ndoa ya King Kiba ilianza kuingia dosari baada ya Amina kutaka ndugu wa Alikiba wakajitafutie maisha yao na wajitegemee jambo ambalo lilizua taharuki na ugomvi mkubwa baini ya ndugu wa Alikiba na Amina..

Amina alidai ni vigumu kuishi na watu wengi vile ndani ya nyumba moja ambapo mpaka wasanii wake wa Kings Music Wanaishi Humo humo, hata kama ni ghorofa na bado kuwe na amani...hivyo alimshauri alikiba awape mitaji wakajitegemee au awapangie nyumba nyingine.....

Hili jambo liliendeleza mgogoro mkubwa hadi Mama Alikiba kuingilia kati na kutaka Alikiba amuache Amina na akadai hapendi hata watoto wa Alikiba wakubwa kuwa pale..
 
Hizi ndo mada za wabongo wata comment paka basi ..........mheshimu private life za watu, kua hasi kwa watu walio fanikiwa hatutatomboa haya maisha
 
Mi nimesikia pia amina ni mshirikina alimroga unju mtoto kipenzi wa kiba wa kiume... Akawa kama kifafa kama uchizi basi watalaam wakamrudisha kwenye mstari si unajua tena watu wa kigoma...

Sasa mghorofa wote ule utakaaje peke ako [emoji3][emoji3]
 
Hizi ndo mada za wabongo wata comment paka basi ..........mheshimu private life za watu, kua hasi kwa watu walio fanikiwa hatutatomboa haya maisha
samahani dadangu.. hivi wewe ni wa wapi vileee... 😛 🙁
 
Ndoa ni ya watu wawili tu. Ukileta watu wengine kuishi nao wawe upande wa KE au ME basi kuna uwezekano mkubwa wakawa chanzo cha ugomvi wa mume na mke.

Ali Kiba mpuuzi utaishije na kijiji na huku umeoa, afadhali angeiahi Mke pamoja mama hapo ningemtetea.

Sasa kuishi na familia yote hadi wasanii wake ni upuuzi wa kiwango cha lami.
huyu dogo siku anamuwowwa huyu mudada.. nilijisemea kimoyo hii safari haifiki hata DODODMA kwa jini nilivokuwa nikimsoma huyu mdada yaani alionekana kama kalazimishwa kuolewa na kweli hatimae yamekuwa ... wajuzi tunajua
kuangalia.
USHAURI KWA MACHALII.
KOSEA KUJENGA NYUMBA LAKINI USIKOSEE KUOA
 
Ndoa ni ya watu wawili tu. Ukileta watu wengine kuishi nao wawe upande wa KE au ME basi kuna uwezekano mkubwa wakawa chanzo cha ugomvi wa mume na mke.
Mkuu bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa. dogo nilimtabiria hatofika safari yake na huyu manzi.
 
KWA nini vijana wa Tz mnapenda sana kuanzisha Uzi wa habari za UDAKU kama hizi badala ya kuanzisha Uzi wa habari zenye mashiko zinazohusu vijana kupeana mbinu bora NA sahihi za kuboresha maisha yao binafsi?? Vijana wengi huko nyumbani Tz hawana ajira wala kazi za maana za kuwaingizia kipato, badala ya ku-deal na tatizo hili kwanza mnajikita kuelezea unyumba wa MTU , inawahusu nini ??
 
Umepataje mda wa kuchangia mada za kidaku, kwa nini usiende kwenye nyuzi za kilimo, ufugaji na ufundi ukatoe maarifa yako huko.
 
Ndoa ni ya watu wawili tu. Ukileta watu wengine kuishi nao wawe upande wa KE au ME basi kuna uwezekano mkubwa wakawa chanzo cha ugomvi wa mume na mke.
Hii haipendezi, yaani ikizinguana na mke ukoo mzima unajua.... upuuzi kabisa huu.!
 
Watabiri wa mambo ya wengine utawajua tu.
Vipi wewe na mme wako ndoa yenu itadumu kwa muda gani?
 
Umepataje mda wa kuchangia mada za kidaku, kwa nini usiende kwenye nyuzi za kilimo, ufugaji na ufundi ukatoe maarifa yako huko.

Ni ktk kuwaelimisha Watu wajinga wajinga waliopotoka kama wewe .
Wewe ndoa ya Kiba inakuhusu nini? Unataka uolewe wewe?Au alikuwa unaona kuwa huyo mwanamke alikuwa anakuzibia ridhiki???
Tafuta pesa, deal NA maisha yako, achana NA mambo ya kishoga kama hayo.
 
Ali Kiba mpuuzi utaishije na kijiji na huku umeoa, afadhali angeiahi Mke pamoja mama hapo ningemtetea.
Sasa kuishi na familia yote hadi wasanii wake ni upuuzi wa kiwango cha lami.
hivi mkuu pale nikwa kiba au kwa mama yake kiba kipi ni sahihi kiba anaishi kwao na mke wake au familia ya kiba inaishi kwa kwaba?
 
Watabiri wa mambo ya wengine utawajua tu.
Vipi wewe na mme wako ndoa yenu itadumu kwa muda gani?
inamiaka 32 na ina ngedere kama wewe 5 zinakunya bure na wala hatuwazi kutengana mradi ngedere kama wewe unaenda haja vizuri maisha yanasonga
 
Mbona humu wanasemaga hana nyumba?
Mi nimesikia pia amina ni mshirikina alimroga unju mtoto kipenzi wa kiba wa kiume... Akawa kama kifafa kama uchizi basi watalaam wakamrudisha kwenye mstari si unajua tena watu wa kigoma...

Sasa mghorofa wote ule utakaaje peke ako [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…