Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina Khalifa raia wa Kenya

nguvu inayotumika kuaminisha umma kwamba ni kweli.ingetumika kutafuta jinsi gani kupata pesa tungekuwa mbali mno jamani.
 
nguvu inayotumika kuaminisha umma kwamba ni kweli.ingetumika kutafuta jinsi gani kupata pesa tungekuwa mbali mno jamani.
Ndio maana udaku ukawepo. Wanaotafuta pesa hata muda wa kufungua habari za udaku hawana
 
kisa alikiba tu au mnabeef behind ?
 
Utitiri wa watu kwenye nyumba haupendezi. Bi Amina anakosa uhuru wa kumuonyesha Ally mambo alovundwa na SOMO yake .Akizunguka huku mtu kirudi kule mwengine atamuonyesha saa ngapi MIZUNGU alochezwa na NYAKANGA.. kingine watu wa mombasa washajizoelea usiku ki wali ,andazi na harage la kukata na juisi nzitooo sasa kwa utitiri huo si ndo mambo ya kupika makande kilo nne[emoji20]
 
Si ndio kama hivyo wanarundikana kwenye nyumba za watu na kuleta mvurugano kwenye ndoa za watu..
 
Jamaa anashi na mke kama vile anaishi geto na masela
 
Umefuata mini huku hizo nyuzi zipo jamii intelligence huku unafuata nini acha ujuaji mkuu
 
BAK umeiona hii comment! hahahaha
 
Reactions: BAK
Hahahahahaha alichoandika ni kweli tupu, lakini familia zetu za kiswahili wengi hawataki kuukubali huo ukweli. Kuwemo kwenye ndoa na kukaribisha utitiri wa ndugu kuishi na wanandoa wawe wa KE an ME ni kuingiza ndoa husika kwenye majaribu makubwa sana.

BAK umeiona hii comment! hahahaha
 
Mambo ya maendeleo binafsi kamsikilize Joel Nanauka. Huku ni udaku kwa kwenda mbele
 
nguvu inayotumika kuaminisha umma kwamba ni kweli.ingetumika kutafuta jinsi gani kupata pesa tungekuwa mbali mno jamani.
Ndio Watu hao hao jioni ukirudi nyumbani kutoka kwenye mihangaiko ya utafutaji unaona wanakuja kukupiga mizinga, utaona anasema "naomba nikopeshe elfu hamsini, nitakurudishia baada ya wiki moja tu, nisaidie aisee". Ukimwambia sina hela ona atakavyokulaumu, utamsikia anasema, " jamaa ana roho mbaya sana, tena bahili sana, ukimlilia shida hakusaidii".
 
mbona nyuzi za michongo zipo...acha watu warelax kidogo ..utu uzima na userious peleka kwenye kikao cha familia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…