Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Yani mwanaume utafute pesa kwa jasho halafu badala ya kuitumia kwa utaratibu mzuri badala yako unapigwa mzinga wa kufa mtu kirahisi tu [emoji87][emoji87][emoji87]
 
Lakini ile ndoa ilifungwa kiislam haswaa

Na Waislam huwa wanajivunia kuwa wana taratibu safi kabisa ya kutatua migogoro ya NDOA na MIRATHI kidini.

Usiku wa kufungwa ndoa ile kulikuwa na Masheikh wengi.

Vipi sasa hapa Viongozi wa dini wanafanyaje na hizo talaka?
 
Yooo....!!!!! talaka 3 mzee hapo Kiba naona kama umefeli kidogo, kwasababu hizi kama zina ukwelii asee umekosea mzee Harusi yako ilikua ni ya gharama saana ndio matatizo yapo lakin sio kwa talaka 3
 
Yooo....!!!!! talaka 3 mzee hapo Kiba naona kama umefeli kidogo, kwasababu hizi kama zina ukwelii asee umekosea mzee Harusi yako ilikua ni ya gharama saana ndio matatizo yapo lakin sio kwa talaka 3
Talaka tatu maana yake hawezi kumrudia tena mpaka aolewe na mwanaume mwingine kisha aachike ndio anaweza kumuoa tena vinginevyo kama anahitaji kumrudia tena mkewe hataweza
 
Ujamaa Ujamaa Ujamaa ndio unaotumaliza,tena mwingine kazaa huko analeta mtoto umlee yeye pamoja na mwanae
 
Kama ni ya kweli haya basi Dawa apo ni kiba kukubali kufukuza hao ndugu walio jazana uko ndani kwake.. awataftie pahala pengine lasivyo akubali kumpoteza mkewe

Hii tabia ya kulundikana Ndugu kwenye nyumba moja ndio hii sasa..utaakaje na mama mzazi wadogo zako ata kaka zako? kisa wewe tu ndio umetoka kimaisha na unakuta limtu limeridhika linakaa kwa kaka yake au dada yake..muda mwingine watz tuache hii tabia ya kung'ang'ania kwa ndugu bora kwenda kutafuta cha kwako utakaa kwa kaka au mdogo ako akisha oa ni balaa linafata ona hii

alafu hii tabia ipo sana ukanda wa mwambao na Zanzibar wenzetu waislam wana hii tabia sana jitu zima bado lipo kwa wazazi au ndugu kisa mambo safi hivi mtu huoni ata aibu??

Vijana tupige kazi tuache mtelezo..
 
Mamaeeee kenya sioi nshaona wana pepo la mali hii ni hatari wakenya sio poa
 
Kama ni kweli basi nimemdharau sana Ally Kiba,Star mkubwa kama yeye halafu anaishi kifala namna hiyo maana yake nini?
Daima huwa nawadharau sana mastaa wa kibongo,hawana tofauti na watu ambao hawakwenda shule!
Unamaanisha unawadharau watu wote wasioenda shule pia? Acha dharau mzee Mr Arabic World.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…