Aristotle J8
Member
- May 29, 2021
- 77
- 95
Wanajukwaa naomba kuuliza ile kwaya ilioimba wimbo wa BWANA WAMABWANA ambayo ROSTAM wametumia sehemu ya wimbo huo kama kiitikio kwenye wimbo wa Kaka Tuchati, kwaya ile inaitwaje? Au msanii anaitwaje!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa alikuwa anataka JPMBwana wa mabwana.... MUNGU wa miungu....alfa na omega nani Kama wewe bwana..
Sasa JPM kafanyaje mkuu..Hapa alikuwa anataka JPM