Msanii aliyeimba nyimbo za Bwana wa Mabwana anaitwa nani?

Aristotle J8

Member
Joined
May 29, 2021
Posts
77
Reaction score
95
Wanajukwaa naomba kuuliza ile kwaya ilioimba wimbo wa BWANA WAMABWANA ambayo ROSTAM wametumia sehemu ya wimbo huo kama kiitikio kwenye wimbo wa Kaka Tuchati, kwaya ile inaitwaje? Au msanii anaitwaje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…