Msanii aliyejulikana kwa jina lake halisi

Msanii aliyejulikana kwa jina lake halisi

Jahom

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
351
Reaction score
32
Steve C Kanumba (R.I.P) ni jina lake halisi ambalo alivuma nalo, ni wasanii wachache sana wanaoweza kutokea kwa mtindo huu, hata yule aliyekuwa naye usiku wa mauti yake anajulikana kwa jina lisilo lake. Inakuwaje wengine mpaka watumie majina mengine ndiyo wanatoka?
 
Ray-vicent kigosi
JB-Jacob Steven
Dr cheni--Awadhi
AY-Ambwene yessaya
Mwanafalsafa-Hamis Mwinjuma
King Crazy GK-gwamaka kaihula
Mainda-Mwanaidi Suka

Hivi na kei jei naye si msanii?
 
I know that it is untimely to discuss this. When we settle we wlii come back to it.

Steve C Kanumba (R.I.P) ni jina lake halisi ambalo alivuma nalo, ni wasanii wachache sana wanaoweza kutokea kwa mtindo huu, hata yule aliyekuwa naye usiku wa mauti yake anajulikana kwa jina lisilo lake. Inakuwaje wengine mpaka watumie majina mengine ndiyo wanatoka?
 
Msanii aliyejulikana kwa jina lake halisi
Steve C Kanumba (R.I.P) ni jina lake halisi ambalo alivuma nalo, ni wasanii wachache sana wanaoweza kutokea kwa mtindo huu, hata yule aliyekuwa naye usiku wa mauti yake anajulikana kwa jina lisilo lake. Inakuwaje wengine mpaka watumie majina mengine ndiyo wanatoka?​
 
Sio wao wanatumia,ni majina yao wanaoyotumia km characters kwenye michezo,au movies na inapokuwa maarufu watu wanaendelea kuwaita hivyo.
Na vyombo vya habari hawataki kutumia majina yao halisi ili kuuza kirahisi habari zao.

Ni sawa hapa umwambie mtu Sylvester Stallone hakuelewi ila ukimwambia Rambo
anakuelewa.
 
yeye anaitwa Steven na lililovuma ni Kanumba...
Kumbuka Kanumba ni jina la Ukoo na si la kwake yeye.
Na ndio maana hata yule mdogo wake nae anaitwa Kanumba....usikurupuke
 
rose ndauka
aunty Ezekiel
jack wolper
Abdul Kiba
Vanessa mdee
 
Back
Top Bottom