Steve C Kanumba (R.I.P) ni jina lake halisi ambalo alivuma nalo, ni wasanii wachache sana wanaoweza kutokea kwa mtindo huu, hata yule aliyekuwa naye usiku wa mauti yake anajulikana kwa jina lisilo lake. Inakuwaje wengine mpaka watumie majina mengine ndiyo wanatoka?
Baba ake alishakanusha kwenye interview yeye haitwi mzee kiba wala hilo jina la kiba halijui πAli Kiba
kasimu mganga
Kumbe.........anaitwa nani sasa???Baba ake alishakanusha kwenye interview yeye haitwi mzee kiba wala hilo jina la kiba halijui π
Aaa Evelyn eeh? Hiv kumbe mzee wao na wale majamaa yupo?Baba ake alishakanusha kwenye interview yeye haitwi mzee kiba wala hilo jina la kiba halijui π
Umenichekesha....
Edward Lowassa msanii bora kabisa kuwahi kutokea