Msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote

Msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
MICHAEL JACKSON Ni msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote (most awarded artist of all time). Alishinda tuzo nyingi kuliko msanii yoyote ambaye yupo hai au alishakufa.

Alipata tuzo 39 kutoka Guinness world record (kitabu cha waliovunja rekodi ya dunia), tuzo 6 za Billboard,tuzo 13 za Grammys,tuzo 16 za mziki wa dunia (world music award), na tuzo 26 za mziki wa Amerika (American music award).

Michael Jackson alikuwa mfalme wa pop (King of Pop) nchini Marekani aliyezaliwa 29 August 1958 na kufariki 25 June 2009.

FB_IMG_1627413280315.jpg
 
Alishawahi Kufika Bongo...! Kituko chake kimoja ni Kuziba pua....Eti Bongo inanuka


Waandishi wa kibongo sijui kama walielewa kizungu cha Michael Jackson. Lucky Dube tu walimzushia kawaita marasta wa Tanzania wachafu. Hata kama sikuwepo sijui kama Lucky Dube alisema hivyo maanaake ngumu kumeza
 
Bahati mbaya hazikuweza kumsaidia wakati wa kufa ulipomfikia
 
Back
Top Bottom