PAYE JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 459 Reaction score 644 Jun 30, 2025 #1 Msanii wa Kizazi kipya Mkoani Songwe, Almas Tz amechukua fomu kugombea Udiwani Kata ya Mwaka Kati, Tunduma mjini. Almas Tz anaye tamba na kibao chake cha "Mwakata" amechukua fomu mapema June 28 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Mwaka Mjini.
Msanii wa Kizazi kipya Mkoani Songwe, Almas Tz amechukua fomu kugombea Udiwani Kata ya Mwaka Kati, Tunduma mjini. Almas Tz anaye tamba na kibao chake cha "Mwakata" amechukua fomu mapema June 28 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Mwaka Mjini.